-
Gaidi wa Daesh aliyekuwa akichapa bakora na kunyonga watu Syria, anaswa nchini Uturuki akitoroka
Apr 12, 2018 23:48Vyombo vya usalama nchini Uturuki vimetangaza kwamba, vimefanikiwa kumtia mbaroni kiongozi wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) aliyekuwa maarufu kwa kuchapa watu bakora na kutoa hukumu za kunyongwa idadi kubwa ya watu katika mji wa Raqqa nchini Syria.
-
Matamshi ya Rais wa Uturuki dhidi ya Ufaransa
Apr 08, 2018 22:03Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki, kwa mara nyingine tena ameishutumu Ufaransa kuwa inawachochea magaidi kufanya jinai.
-
Utoaji vitisho tena wa Uturuki dhidi ya Iraq
Mar 30, 2018 22:15Baraza la Usalama wa Taifa la Uturuki limetoa taarifa likitishia kwamba ikiwa serikali ya Iraq haitokomesha harakati za chama cha Wafanyakazi wa Kurdistan (PKK) ndani ya ardhi ya nchi hiyo, Uturuki itapeleka tena vikosi vya jeshi lake eneo la kaskazini mwa Iraq.
-
Vikosi vya jeshi la Iraq na Hashdu sh-Sha'abi vyawasili katika mji wa Sinjar kukabiliana na vitisho vya Uturuki
Mar 27, 2018 22:10Vikosi vya jeshi la Iraq na vya Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi vimewasili katika mji wa Sinjar mkoani Nainawa (Nineveh) kwa ajili ya kukabiliana na vitisho vya Uturuki dhidi ya wakazi wa mji huo.
-
Baada ya Erdoğan kutishia kuishambulia Iraq, jeshi la Uturuki lashambulia ngome za PKK
Mar 21, 2018 23:48Jeshi la Uturuki limefanya mashambuli ya anga katika maeneo yanayodaiwa na Ankara kuwa ni maficho na ngome za wapiganaji wa Kikurdi wa PKK kaskazini mwa nchi jirani ya Iraq.
-
Kasisi wa Marekani kupandishwa kizimbani Uturuki kwa tuhuma za ugaidi
Mar 20, 2018 12:12Kasisi mmoja raia wa Marekani huenda akahukumiwa kifungo cha miaka 35 jela nchini Uturuki iwapo atapatikana na hatia katika tuhuma za ugaidi na ujasusi zinazomkabili.
-
Mbali na Uturuki kuivamia Syria, Erdoğan atishia tena kuishambulia Iraq
Mar 20, 2018 04:08Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki ametishia kwamba, ikiwa serikali ya Iraq haitoshirikiana na nchi yake, basi Ankara itaanzisha mashambulizi katika miji ya Sinjar nchini Iraq dhidi ya wanachama wa kundi la Kikurdi la PKK.
-
Kuingia wanajeshi wa Uturuki mjini Afrin, Syria na changamoto zitakazoibuka
Mar 19, 2018 04:01Rais Reccep Tayyip Erdogan wa Uturuki jana alitangaza kuwa wanajeshi wa nchi yake sasa wamechukua udhibiti wa mji wa Afrin kaskazini mwa Syria.
-
Ndege ya Uturuki yaanguka nchini Iran
Mar 11, 2018 13:38Ndege moja binafsi ya Uturuki iliyokuwa inasafiri kutoka Sharjah, Imarati kuelekea Istanbul Uturuki imeanguka karibu na Shahr-e Kord katika mkoa wa Chaharmahal va Bakhtiari kusini magharibi mwa Iran.
-
Human Rights Watch: Uturuki haiheshimu maisha ya raia wa kawaida mjini Afrin, Syria
Feb 24, 2018 04:19Shirika la Kutetea Haki za Binaadamu la Human Rights Watch limeikosoa vikali serikali ya Uturuki kwa kutozingatia maisha ya raia wa kawaida katika vita vyake eneo la Afrin, kaskazini mwa Syria.