Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

uvunjaji wa haki za binadamu

  • HRW: Saudia inatumia mabomu ya vishada ya Marekani nchini Yemen

    HRW: Saudia inatumia mabomu ya vishada ya Marekani nchini Yemen

    May 06, 2016 23:49

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limeikosoa Marekani kwa kuiuzia Saudi Arabia mabomu ya vishada yanayotumiwa na utawala huo wa kifalme dhidi ya raia wasio na hatia wa Yemen.

  • Ban akosoa ukiukaji wa haki za binadamu duniani

    Ban akosoa ukiukaji wa haki za binadamu duniani

    Apr 07, 2016 03:23

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanyika kwa kisingizio cha kupambana na makundi yenye mitazamo mikali ni maafa kwa dunia ya sasa.

  • Ripoti ya kushtua kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu nchini Bahrain

    Ripoti ya kushtua kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu nchini Bahrain

    Apr 04, 2016 02:45

    Taasisi moja isiyo ya kiserikali inayotetea haki za binadamu nchini Bahrain imetoa ripoti ya kushtusha kuhusu ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu nchini humo katika mwaka uliopita.

  • Watetezi wa Haki: Hali ya Burundi inatisha, zaidi ya 381 wameuawa hadi sasa

    Watetezi wa Haki: Hali ya Burundi inatisha, zaidi ya 381 wameuawa hadi sasa

    Apr 02, 2016 01:49

    Tume Huru ya Kutetea Haki za Binadamu nchini Buundi imeelezea wasi wasi wake kuhusiana na hali ya kiusalama na kisiasa nchini Burundi na kuongeza kwamba mamia ya watu wamekwishauawa kufikia sasa.

  • UNHRC kuchunguza ukiukwaji wa haki za binadamu S. Kusini

    UNHRC kuchunguza ukiukwaji wa haki za binadamu S. Kusini

    Mar 24, 2016 03:45

    Umoja wa Mataifa utaanza kuchunguza ukiukwaji wa haki za binadamu Sudan Kusini.

  • Amnesty International yakosoa ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu nchini Saudi Arabia

    Amnesty International yakosoa ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu nchini Saudi Arabia

    Mar 16, 2016 10:58

    Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limekosoa vikali ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa nchini Saudi Arabia.

  • Mtaalamu wa UN atoa indhari kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Mtaalamu wa UN atoa indhari kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Mar 13, 2016 00:00

    Marie-Thérèse Keita-Bocoum, mtaalamu wa Umoja wa Mataifa wa haki za binadamu amesema hali ya haki za binadamu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati inatia wasiwasi.

  • Watetezi: Bahrain inakiuka haki ya faragha na uhuru wa kujieleza

    Watetezi: Bahrain inakiuka haki ya faragha na uhuru wa kujieleza

    Mar 11, 2016 04:50

    Shirika moja la kutetea haki za binadamu nchini Bahrain limeelezea wasiwasi kuhusu hatua ya utawala wa Aal-Khalifa kuendelea kukandamiza haki ya faragha na uhuru wa kujieleza wa wananchi wa nchi hiyo.

  • Ukiukwaji haki za binadamu Misri walaaniwa

    Ukiukwaji haki za binadamu Misri walaaniwa

    Mar 05, 2016 12:19

    Vikosi vya usalama vya Misri vimelaumiwa kwa kukiuka haki za binadamu kutokana na kutekeleza vitendo vya utesaji na mauaji ya kiholela wakati wa kukabiliana na wapinzani.

  • Wanaharakati: Rais Buhari anakiuka haki zote za Mashia Nigeria

    Wanaharakati: Rais Buhari anakiuka haki zote za Mashia Nigeria

    Mar 01, 2016 04:31

    Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imesema serikali ya nchi hiyo imekiuka haki zote za msingi za Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS