• ICC yaanza kusikiliza kesi ya gaidi mtenda jinai kutoka Mali

    ICC yaanza kusikiliza kesi ya gaidi mtenda jinai kutoka Mali

    Jul 15, 2020 02:37

    Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai imeanza kusikiliza kesi ya gaidi raia wa Mali ambaye anakabiliwa na tuhuma za kutenda jinai ya kubomoa maziyara matakatifu katika mji wa kale wa nchi hiyo, Timbuktu.

  • Ayatullah Makarim Shirazi: Mwisho wa uhai wa Uwahabi unakaribia

    Ayatullah Makarim Shirazi: Mwisho wa uhai wa Uwahabi unakaribia

    Dec 20, 2019 01:09

    Ayatullah Nasir Makarim Shirazi mmoja wa Marja wakuu taqlidi katika mji mtakatifu wa Qum hapa nchini amesema kuwa Matakfiri wangeshatokomea kitambo kama kusingekuwepo na dola za mafuta na uungaji mkono wa Marekani kwa matakfiri hao.

  • Mhubiri wa Kiwahhabi aliyesoma Saudia akamatwa Sri Lanka, ahusishwa na ugaidi

    Mhubiri wa Kiwahhabi aliyesoma Saudia akamatwa Sri Lanka, ahusishwa na ugaidi

    May 12, 2019 14:55

    Wakuu wa Sri Lanka wamemkamata mhubiri wa Kiwahhabi aliyesoma nchini Saudi Arabia baada ya kushukiwa kuwa na mfungamano na magaidi waliotekeleza hujuma za kigaidi zilizoua mamia ya watu nchini humo mwezi jana.

  • Sayyid Hassan Nasrullah: Daesh (ISIS) ni zao la Saudia na fikra ya Uwahabi

    Sayyid Hassan Nasrullah: Daesh (ISIS) ni zao la Saudia na fikra ya Uwahabi

    Apr 22, 2019 17:25

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah amesema kuwa, kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) ni zao la Saudi Arabia na fikra za Uwahabi na amesisitiza kwamba makundi mengi ya kigaidi yanapata mikopo ya fedha kutoka taasisi mbalimbali za kidini nchini Saudia na kutumia fikra hizo hizo za Uwahabi kufanya mauaji na jinai dhidi ya mataifa ya Waislamu.

  • Uwahabi; chanzo cha umwagikaji damu katika Ulimwengu wa Kiislamu

    Uwahabi; chanzo cha umwagikaji damu katika Ulimwengu wa Kiislamu

    Feb 22, 2019 12:23

    Meja Jenerali Qassim Suleimani, Kamanda MKuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran SEPAH, amesema kwamba magaidi wa kitakfiri wanaoungwa mkono na Saudi Arabia katika ardhi ya Pakistan wamekuwa tatizo kubwa la usalama kwa majirani wote wa nchi hiyo, zikiwemo India na Afghanistan na kwamba viongozi wa Pakistan wanapasa kulitambua vyema jambo hilo.

  • Kwa dhambi gani ameuawa?

    Kwa dhambi gani ameuawa?

    Feb 20, 2019 08:44

    Mwaka 61 Hijria koo la mtoto mchanga aliyekuwa na umri wa miezi sita tuu wa mjukuu wa Mtume wetu Muhammad (saw), Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (as) likatwa kwa mshale wa adui wa Allah na Mtume wake aliyejulikana kwa jina la Harmala katika medani ya Karbala.

  • Saudi Arabia katika faharasa ya Umoja wa Ulaya ya waungaji mkono wa ugaidi

    Saudi Arabia katika faharasa ya Umoja wa Ulaya ya waungaji mkono wa ugaidi

    Jan 27, 2019 02:35

    Saudi Arabia ikiwa kitovu kikuu cha itikadi za Kiwahabi kwenye miaka ya hivi karibuni imekuwa na nafasi kuu na athirifu katika kutoa uungaji mkono wa hali na mali na wa pande zote kwa ugaidi hususan kwa magenge ya kigaidi ya wakufurishaji kwenye eneo la Mashariki ya Kati na maeneo mengine duniani.

  • Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (12)

    Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (12)

    Oct 27, 2018 11:10

    Haram na makaburi matakatifu ya Mtume Muhammad (saw) na Maimamu maasumu wa nyumba yake tukufu (as) katika kipindi chote cha historia ya Uislamu ya zaidi ya miaka 1400, yamekuwa kimbilio la nyoyo zenye hamu kubwa za waumini na wafuasi wao.

  • Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (2)

    Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (2)

    Sep 16, 2018 10:27

    Je, tukio la Ashuraa na mauaji ya mjukuu wa Mtume (saw), Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (as) katika siku ya tarehe 10 Muharram mwaka 61 Hijria lina umuhimu katika utamaduni wa Waislamu wa madhehebu ya Shia peke yao? Au la, madhehebu nyingine za Kiislamu pia kama madhehebu za Ahlusunna, zinajali sana tukio hilo na kuumizwa mno na masaibu ya Hussein bin Ali na dhulma zilizofanywa na madhalimu dhidi ya familia hiyo ya Mtume?

  • Kukiri Saudi Arabia nafasi ya Marekani katika kuenea Uwahabi

    Kukiri Saudi Arabia nafasi ya Marekani katika kuenea Uwahabi

    Mar 28, 2018 02:33

    Muhammad bin Salman mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia amekiri katika mahojiano aliyofanyiwa na gazeti la Washington Post kwamba, nchi yake imejikita zaidi katika kueneza Uwahabi ulimwenguni kwa takwa la Marekani na kwa ajili ya kukabiliana na kambi ya Mashariki katika kipindi cha Vita Laini vya 1947-1991.