-
Hatua mpya ya Umoja wa Ulaya ya kukabiliana na vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran
Jul 18, 2018 05:31Licha ya kuendelea vitisho vya Marekani kuhusiana na mapatano ya nyuklia ya Iran JCPOA, Umoja wa Ulaya umepitisha sheria ya kukabiliana na vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran inayojulikana kama 'Sheria Zuizi.'
-
Baraza la Usalama la UN laiwekea vikwazo Sudan Kusini
Jul 13, 2018 22:51Baraza la Usalama la Umoja wa Umoja wa Mataifa limeiwekea vikwazo vya silaha nchi ya Sudan Kusini, karibu miaka mitano sasa baada ya nchi hiyo kutumbukia katika vita vya wenyewe kwa wenyewe.
-
Marekani yalegeza msimamo wa vikwazo dhidi ya Iran baada ya kuonywa
Jul 11, 2018 08:51Marekani imelegeza msimamo wake mkali wa kuiwekea Iran vikwazo na kuzuia mafuta ghafi ya petroli ya nchi hii kuuzwa katika soko la kimataifa ifikapo Novemba 4.
-
Russia: Nchi za Ulaya kufanya biashara na Iran bila kutumia dola za Marekani
Jul 10, 2018 02:49Waziri wa Mambo wa Nje wa Russia, Sergei Lavrov amesema nchi tatu kubwa za Umoja wa Ulaya na ambazo zilisaini makubaliano ya nyuklia ya JCPOA zimeafikiana kuzindua uhusiano wa kibiashara na Iran pasina kutegemea matumizi ya dola za Marekani.
-
Frank N. von Hippel: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran havitokuwa na natija yoyote
Jul 09, 2018 09:20Naibu wa zamani wa Usalama wa Taifa katika ikulu ya Marekani, White House, Frank N. von Hippel amesema kuwa vikwazo vya serikali ya Washington dhidi ya Iran havitokuwa na natija yoyote.
-
Ombi la Russia la kutaka kufutwa haraka vikwazo dhidi ya Syria
Jul 05, 2018 05:22Sergei Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia jana Jumatano akihutubia waandishi wa habari akiwa ameandamana na waziri mwenzake wa Jordan Ayman Safadi mjini Moscow, alitangaza kuwa, vikwazo vyote dhidi ya Syria vinapaswa kuondolewa na Wasyria wasaidiwe kurejea katika nchi yao.
-
Ombi la Russia la kutaka kufutwa haraka vikwazo dhidi ya Syria
Jul 05, 2018 02:46Sergei Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia jana Jumatano akihutubia waandishi wa habari akiwa ameandamana na waziri mwenzake wa Jordan Ayman Safadi mjini Moscow, alitangaza kuwa, vikwazo vyote dhidi ya Syria vinapaswa kuondolewa na Wasyria wasaidiwe kurejea katika nchi yao.
-
Sisitizo jipya la Umoja wa Ulaya juu ya kulindwa mapatano ya nyuklia ya JCPOA
Jul 04, 2018 02:53Maya Kuchiánchik, Msemaji wa Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesisitizia azma ya Brussels kwa ajili ya kutekeleza kikamilifu na kwa namna chanya, makubaliano ya nyuklia maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Kuendelea vikwazo; kilele cha uadui wa Marekani dhidi ya Iran
May 31, 2018 20:22Vikwazo vipya vimetangazwa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kufuatia uamuzi wa Marekani wa kujitoa katika makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA.
-
India: Hatutafuata agizo la Marekani la kuiwekea vikwazo Iran
May 29, 2018 03:12Waziri wa Mambo ya Nje wa India amesema kuwa, nchi yake haitofuata maagizo ya Marekani ya kuiwekea vikwazo Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.