-
China yaonya kuhusu kurejea vita baridi eneo la Asia-Pasifiki
Nov 11, 2021 06:16Rais Xi Jinping wa China ameonya kuhusu uwezekano wa kurejea mgogoro wa zama za Vita Baridi katika eneo la Asia Pasifiki huku hali ya taharuki ikiendelea kushuhudiwa baina ya Marekani na China kuhusu eneo la China Taipei.
-
Kiongozi wa wanaotaka kujitenga Biafra (IPOB), kufikishwa mahakamani leo
Nov 10, 2021 03:02Kiongozi wa Watu wa Asili wa Biafra (IPOB), wanaotaka kujitenga eneo la kusini mashariki mwa Nigeria, anatazamiwa kurejeshwa mahakamani hii leo Jumatano katika mji mkuu wa Nigeria, Abuja.
-
UN: Ethiopia inakaribia kutumbukia katika vita kubwa ya wenyewe kwa wenyewe
Nov 09, 2021 09:07Mkuu wa Idara ya Siasa ya Umoja wa Mataifa, Rosemary DiCarlo amesema hatari ya Ethiopia kuingia katika vita vya wenyewe kwa wenyewe ni kubwa mno", akiongeza kuwa athari za kisiasa za kushadidi ghasia nchini humo zitazidisha migogoro inayolisumbua eneo la Pembe ya Afrika.
-
Serikali ya Biden yaidhinisha mauzo ya silaha kwa Saudi Arabia
Nov 06, 2021 12:17Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Marekani imeidhinisha mauzo ya makombora yenye thamani ya dola milioni 650 kwa Saudi Arabia.
-
Kukiri Biden kushindwa Marekani kukabiliana na al Qaida; kufeli vita vya kimataifa dhidi ya ugaidi
Sep 13, 2021 07:37Rais wa Marekani, Joe Biden, siku ya Jumamosi na pembeni mwa sherehe za mwaka wa 20 wa tangu kutokea mashambulio ya Septemba 11 nchini Marekani, alikiri kwamba yumkini kundi la kigaidi la al Qaida likarejea tena Afghanistan na kusisitiza kuwa, Washington haiwezi kupeleka wanajeshi kila sehemu ilipo al Qaida.
-
Guterres ataka kusitishwa uhasama na mapigano nchini Ethiopia
Aug 27, 2021 06:01Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kusitishwa mara moja mapigano na vitendo ya uhasama nchini Ethiopia.
-
Ripoti mpya kuhusu matokeo ya vita vya miaka 20 vya Marekani huko Afghanistan
Aug 19, 2021 19:34Taasisi ya Watson Institute for International and Public Affairs katika Chuo Kikuu cha Brown imetangaza katika ripoti yake mpya kwamba, Marekani imetumia dola trilioni 2.26 katika vita vyake vya miaka 20 huko Afghanistan ambavyo vilianza msimu wa mapukutiko wa mwaka 2001.
-
Mapigano baina ya jeshi la serikali na waasi wa Tigray yapamba moto Ethiopia
Aug 13, 2021 19:30Mapigano makali yameripotiwa baina ya vikosi vya jeshi la serikali ya Ethiopia na wapiganaji wa kundi la waasi wa Harakati ya Ukombozi ya Watu wa Tigray (TPLF) katika maeneo ya mpaka wa jimbo hilo na Amhara kaskazini mwa Ethiopia.
-
Tsunami ya kujiua katika jeshi la Marekani, nembo ya mgogoro wa kinafsi na kimaadili
Jun 26, 2021 10:31Ripoti ya karibuni ya Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) inaonesha ongezeko la visa vya kujiua kati ya wanajeshi wa nchi hiyo hususan maveterani wa jeshi.
-
Russia yaanza mazoezi ya kijeshi eneo ambako Marekani pia inapanga mazoezi ya kivita
Jun 11, 2021 07:53Jeshi la Majini la Russia limeanza mazoezi makubwa ya kijeshi katika eneo la kati mwa Bahari ya Pasifiki punde baada ya Marekani kusema itafanya mazoezi makubwa zaidi ya kivita katika eneo hilo hilo katika msimu wa joto mwaka huu.