Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

waasi

  • Waasi Sudan wawaachia huru wafungwa 127

    Waasi Sudan wawaachia huru wafungwa 127

    Mar 06, 2017 00:30

    Waasi wanaopigana dhidi ya serikali katika maeneo ya kusini mwa Sudan wamewaachia huru mateka 127 huku jeshi la nchi hiyo likikaribisha hatua hiyo.

  • Waziri ajiuzulu Sudan Kusini, ajiunga na kundi la waasi

    Waziri ajiuzulu Sudan Kusini, ajiunga na kundi la waasi

    Feb 17, 2017 11:05

    Waziri wa Leba wa Sudan Kusini ametangaza kujiuzulu na kusema kuwa sasa ataunga mkono harakati zinazofanywa na waasi wanaomuunga mkono Riek Machar, Makamu wa Rais wa zamani wa nchi hiyo.

  • UN: 100 wauawa katika mapigano kati ya jeshi na waasi DRC

    UN: 100 wauawa katika mapigano kati ya jeshi na waasi DRC

    Feb 14, 2017 11:09

    Umoja wa Mataifa umesema jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limeua makumi ya watu katika makabiliano na kundi la waasi kati ya Februari 9 na 13.

  • Wasiwasi watanda mji mkuu wa Côte d’Ivoire kutokana na tishio la askari waasi

    Wasiwasi watanda mji mkuu wa Côte d’Ivoire kutokana na tishio la askari waasi

    Jan 28, 2017 10:27

    Uasi wa askari katika mji mkuu wa Côte d’Ivoire, Yamoussoukro umewafanya wakazi wa mji huo kupatwa na wasi wasi mkubwa.

  • Waasi wa Uganda washambulia kijiji kaskazini mwa Kongo DR, wateka nyara raia

    Waasi wa Uganda washambulia kijiji kaskazini mwa Kongo DR, wateka nyara raia

    Jan 21, 2017 01:07

    Waasi wa Uganda wameshambulia wakazi wa kijiji kimoja kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kuteka nyara wakazi kadhaa wa kijiji hicho.

  • Waasi wa zamani wa Machi 23 waingia mashariki mwa Congo

    Waasi wa zamani wa Machi 23 waingia mashariki mwa Congo

    Jan 16, 2017 02:41

    Maafisa wa serikali ya Jamhuri ya Kidemkorasia ya Congo wamesema kuwa waasi wa zamani wa kundi la Machi 23 wameingia mashariki mwa nchi hiyo.

  • Congo DR yataka kufukuzwa waasi wa Rwanda, Sudan Kusini katika ardhi ya nchi hiyo

    Congo DR yataka kufukuzwa waasi wa Rwanda, Sudan Kusini katika ardhi ya nchi hiyo

    Jan 12, 2017 23:28

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeutaka Umoja wa Mataifa kutayarisha mazingira ya kuwaondoa waasi wa Rwanda na Sudan Kusini katika ardhi ya nchi hiyo.

  • Askari waasi wa Côte d’Ivoire wamuachilia huru Waziri wa Ulinzi

    Askari waasi wa Côte d’Ivoire wamuachilia huru Waziri wa Ulinzi

    Jan 08, 2017 04:36

    Askari waasi wa Côte d’Ivoire wamemuachilia huru Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo leo asubuhi, baada ya kumshikilia kwa masaa machache katika makazi yake.

  • Kundi la Niger Delta latangaza rasmi vita na serikali ya Nigeria

    Kundi la Niger Delta latangaza rasmi vita na serikali ya Nigeria

    Jan 07, 2017 12:26

    Kundi la waasi wa Niger Delta kusini mwa Nigeria limetangaza vita na serikali ya nchi hiyo kufuatia kushindwa mazungumzo ya pande mbili.

  • Ahadi ya Rais wa Nigeria ya kurejesha amani na usalama wa nchi

    Ahadi ya Rais wa Nigeria ya kurejesha amani na usalama wa nchi

    Jan 02, 2017 03:36

    Katika hali ambayo, Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amesema katika ujumbe wake kwa mnasaba wa mwaka mpya wa 2017 kwamba, ameazimia kuchukua hatua za kurejesha usalama na uthabiti wa nchi hiyo na wa kieneo, kwa mara nyingine tena kundi la kigaidi la Boko Haram limetishia kutekeleza operesheni za kigaidi katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS