-
Wahajiri zaidi ya 100 wahofiwa kufa maji Bahari ya Mediterranea
Jan 15, 2017 11:17Makumi ya wahajiri wanahofiwa kupoteza maisha baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kwenda bara Ulaya kuzama katika Bahari ya Mediterranea.
-
Miili ya wahajiri 11 yapatikana ufuoni mjini Tripoli, Libya
Dec 28, 2016 10:47Shirika la Hilali Nyekundu la Libya limesema miili 11 ya wahajiri waliokufa maji wakijaribu kuelekea barani Ulaya imepatikana katika fuo za mji mkuu wa Libya, Tripoli.
-
UN: Wajiri elfu tano wamekufa maji wakieleka Ulaya mwaka huu 2016
Dec 23, 2016 12:53Shirika la Kimataifa la Uhajiri (IOM) limesema wakimbizi na wahajiri wapatao 5,000 wamepoteza maisha mwaka huu wa 2016 wakijaribu kuingia barani Ulaya kupitia Bahari ya Mediterranea.
-
Wahajiri 1,400 waokolewa Bahari ya Mediterranea wakielekea Ulaya
Nov 23, 2016 04:42Wahajiri 1,400 aghalabu kutoka kaskazini mwa Afrika, wameokolewa baada ya boti zao kuzama katika Bahari ya Mediterranea wakielekea barani Ulaya.
-
ICC yachunguza magendo ya wahajiri wa Kiafrika nchini Libya
Nov 23, 2016 04:30Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC imeanzisha uchunguzi juu ya biashara haramu ya kuwasafirisha wahajiri wa Kiafrika wanaopelekwa barani Ulaya kupitia usafiri hatari wa baharini.
-
Wahajiri wa Kiafrika wazidi kufa maji wakielekea Ulaya
Nov 18, 2016 04:12Makumi ya wahajiri wamefariki dunia na wengine wengi kutoweka baada ya boti yao kuzama katika bahari ya Mediterenia wakielekea barani Ulaya jana Alkhamisi.
-
Wahajiri 550 Waafrika waokolewa Bahari ya Mediterannea wakikimbilia Ulaya
Nov 15, 2016 10:40Wahajiri 550, aghalabu kutoka Afrika Magharibi, wameokolewa kutoka katika boti zao zilizokuwa zinaelekea kuzama katika Bahari ya Mediterranea Jumatatu katika oparesheni tano ambapo waokoaji walipata miili mitano.
-
Trump: Tutawafunga jela au kuwatimua wahajiri milioni 3
Nov 14, 2016 04:31Hata kabla ya kuapishwa, Rais mteule wa Marekani Donald Trump ameahidi kutekeleza ahadi alizozitoa wakati wa kampeni za uchaguzi, likiwemo suala la kuwatimua wahamiaji nchini humo.
-
Ujerumani kuwakamata wahamiaji baharini na kuwarejesha Afrika
Nov 06, 2016 10:53Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ujerumani imetoa pendekezo la kuwakamata wahamiaji Waafrika katika Bahari ya Mediterranean na kuwarejesha Afrika kabla hawajafika Ulaya.
-
Wahajiri 239 wafariki dunia pwani ya Libya wakielekea Ulaya
Nov 03, 2016 12:55Umoja wa Mataifa umesema wahajiri 239 wali0kuwa wakielekea barani Ulaya wamepoteza maisha baada ya boti zao kuzama katika pwani ya Libya.