-
Wahamiaji 2,200 wanusuriwa Mediterranea, miili 16 yapatikana
Oct 26, 2016 01:09Wahamiaji karibu 2,200 wameokolewa katika Bahari ya Mediterranea katika oparesheni 21 za uokoaji huku miili 16 ikipatikana, Gadi ya Ulinzi wa Pwani ya Italia imesema.
-
Deby: EU ishirikiane na viongozi wa Afrika kukomesha wimbi la wahajiri
Oct 13, 2016 04:30Rais Idris Deby wa Chad amesema ili kulipatia ufumbuzi jinamizi la wahajiri kumiminika barani Ulaya, sharti Umoja wa Ulaya uwahusishe viongozi wa Afrika katika mikakati yake ya kukomesha wimbi hilo la wahamiaji haramu.
-
Serikali ya Uingereza kukabiliana na wahamiaji
Oct 06, 2016 01:11Wizara ya Biashara ya Kimataifa ya Uingereza imeweka wazi mpango wake wa kukabiliana na wahamiaji wanaoingia nchini humo.
-
Wahajiri 5,600 wanusurika kifo katika pwani ya Libya
Oct 04, 2016 04:25Gadi ya ulinzi wa pwani ya Italia imesema wahajiri wapatao 5,600 wamenusurika kifo katika pwani ya Libya kwenye bahari ya Mediterranean wakielekea bara Ulaya jana Jumatatu; idadi inayotajwa kuwa kubwa zaidi ya wahajiri kuokolewa katika siku moja.
-
Idadi ya watu waliofariki kwenye ajali ya boti Misri yapindukia 200
Sep 29, 2016 01:10Idadi ya watu waliofariki kwenye ajali ya kupinduka kwa meli iliyobeba wahamiaji haramu iliyotokea wiki iliyopita kwenye eneo la Bahari ya Mediterranean imefikia 202.
-
Miili ya watu 115 yapatikana kufuatia kuzama boti ya wahamiaji Misri
Sep 24, 2016 01:12Waokoaji nchini Misri wamefanikiwa kupata miili zaidi katika Bahari ya Mediterranean baada ya boti iliyokuwa na mamia ya wahamiaji kuzama hivi karibuni karibu na pwani ya nchi hiyo.
-
Mamia ya wahajiri haramu waokolewa katika fukwe za Libya
Sep 15, 2016 02:57Maafisa wa gadi ya ulinzi wa fukwe za Italia wametangaza habari ya kuokolewa amia ya wahajiri haramu katika fukwe za Libya.
-
EU: Idadi ya wahajiri wanaoingia Italia imeongezeka kwa 12%
Aug 13, 2016 03:00Shirika la Umoja wa Ulaya la Frontex linaloshughulikia masuala ya mipaka limesema idadi ya wahajiri wanaoingia nchini Italia imeongezeka kwa asilimia 12.
-
Amnesty: Jamii ya Kimataifa imefeli kuutatua mgogoro wa wakimbizi
Aug 04, 2016 10:35Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limewakosoa viongozi wa dunia kwa kushindwa kuupatia ufumbuzi mgogoro wa wakimbizi duniani.
-
Miili 22 ya wahajiri yapatikana katika Pwani ya Libya
Jul 21, 2016 09:09Miili 22 ya wahajiri imepatikana ndani ya boti karibu na pwani ya Libya katika Bahari ya Mediterranean huku juhudi za kutafuta miili zaidi zikiendelea.