-
Miili 217 ya wahajiri yapatikana Italia
Jul 07, 2016 09:43Miili zaidi ya 200 ya wahajiri imepatika katika mabaki ya boti iliyozama katika Bahari ya Mediterranean Aprili mwaka jana 2015.
-
Chuki dhidi ya wahajiri Uingereza zaongezeka baada ya Brexit
Jul 01, 2016 03:39Chuki dhidi ya wahajiri nchini Uingereza zimeongezeka kwa asilimia 500, siku chache baada ya nchi hiyo kupiga kura ya kujiondoa kwenye Umoja wa Ulaya maarufu kama Brexit.
-
Niger yasema wahajiri 34 wameaga dunia wakielekea Ulaya
Jun 16, 2016 11:00Serikali ya Niger imesema wahajiri 34 raia wa nchi kadhaa za Afrika wakiwemo watoto wadogo 20 wameaga dunia katika jangwa la nchi hiyo baada ya kutelekezwa na mtu aliyekuwa akiwapeleka barani Ulaya.
-
Miili mingine 133 ya wahajiri yapatika katika pwani ya Libya
Jun 06, 2016 03:36Shirika la Hilali Nyekundu limetangaza kuwa miili ya 133 ya wahajiri waliokufa maji hivi karibuni wakijaribu kuvuka Bahari ya Mediterranean kuelekea Ulaya imepatikana katika mji wa Zuwara, magharibi mwa Libya.
-
Miili 25 ya wahajiri yapatikana magharibi mwa Libya
Jun 02, 2016 10:22Shirika la Kimataifa la Hilali Nyekundu limesema kuwa miili ya wahajiri 25 waliokufa maji siku chache zilizopita wakijaribu kuvuka Bahari ya Mediterranean kuelekea Ulaya imepatikana katika mji wa Zuwara, magharibi mwa Libya.
-
Wahajiri 700 wafa maji pwani ya Libya wakielekea Ulaya
May 29, 2016 09:34Mamia ya wahajiri wamepoteza maisha baada ya boti zao kuzama katika pwani ya Libya katika muda wa siku chache zilizopita.
-
IOM: Zaidi ya 80 hawajapatikana baada ya boti ya wakimbizi kuzama pwani ya Libya
May 01, 2016 09:48Shirika la Kimataifa la Wahajiri IOM limesema hatima ya wahajiri zaidi ya 80 haijajulikana hadi sasa baada ya boti iliyokuwa imewabeba kuzama katika pwani ya Libya kwenye bahari ya Mediterranean Ijumaa iliyopita.
-
Nchi za Ulaya zakosolewa kwa kupuuza mgogoro wa wahajiri
Feb 19, 2016 04:44Bunge la Ulaya limekosoa baadhi ya nchi za bara hilo kwa kupuuza mgogoro wa wahajiri na hivyo kufanya suala hilo kuwa gumu zaidi kulitatua.