-
Bakwata: Watanzania kunufaika na bidhaa zenye nembo "Halal"
Oct 25, 2016 04:40Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limesema kila Mtanzania karibuni hivi atanufaika na bidhaa zenye nembo ya Halal, ambapo wapo mbioni kuijumuisha nchi hiyo ya Afrika Mashariki kwenye orodha ya nchi 33 ambazo zinatumia bidhaa halali za vyakula na vinywaji.
-
Ongezeko kubwa la uhalifu wa chuki za kidini dhidi ya Waislamu nchini Marekani
Oct 24, 2016 02:48Ripoti mpya iliyotolewa inaonyesha kuwa, uhalifu unaotokana na chuki dhidi ya Waislamu umeongezeka kwa kiwango kikubwa nchini Marekani.
-
Kuongezeka pakubwa mashambulizi dhidi ya Misikiti na Waislamu nchini Ujerumani
Oct 23, 2016 11:38Ripoti mpya iliyotolewa hivi karibuni inaonyesha kuongezeka kwa kiasi kikubwa mashambulizi dhidi ya Waislamu na misikiti huko Ujerumani.
-
Uhalifu unaotokana na chuki dhidi ya Waislamu waongezeka kwa asilimia 90 nchini Marekani
Oct 23, 2016 04:34Ripoti mpya iliyotolewa inaonyesha kuwa, uhalifu unaotokna na chuki dhidi ya Waislamu umeongezeka kwa takribani asilimia 90 nchini Marekani.
-
Harakati ya Kiislamu Nigeria kotini kupinga marufuku dhidi yake
Oct 21, 2016 10:31Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imeelekea mahakamani kukata rufaa dhidi ya uamuzi wa serikali kupiga marufuku shughuli za harakati hiyo katika jimbo la Kaduna.
-
Serikali ya Myanmar yazuia misaada kufikishwa kwa Waislamu wa nchi hiyo
Oct 20, 2016 04:19Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limetangaza kuwa serikali ya Myanmar imezuia misaada ya chakula kufikishwa kwa Waislamu wa Kabila la Rohingya wanaoishi katika jimbo la Rakhine kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.
-
Kuendelea mateso dhidi ya Waislamu wa Rohingya huko Myanmar
Oct 15, 2016 23:08Shambulio la hivi karibuni la watu wasiofahamika katika kituo cha ulinzi wa mpakani kati ya Myanmar na Bangladesh kimekuwa kisingizio tosha kwa jeshi na Mabudha wenye misimamo mikali huko Myanmar cha kuwashambulia tena Waislamu wa Rohingya katika mkoa wa Rakhine.
-
UN: Ushindi wa Trump katika uchaguzi wa rais Marekani ni hatari kubwa
Oct 12, 2016 12:24Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kwamba, iwapo Donald Trump, mgombea wa chama cha Republican atashinda katika uchaguzi ujao wa rais nchini Marekani, jambo hilo litakuwa hatari kubwa kwa dunia nzima.
-
Jeshi la Nigeria lawazingira Waislamu wa madehebu ya Shia katika maombolezo ya Imam Hussein AS
Oct 12, 2016 00:54Jeshi la Nigeria limewazingria Waislamu wa madheebu ya Shia waliokuwa wamekusanyika msikitini katika hafla ya maombolezo ya kukumbuka kuuawa shahidi Mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, Imam Hussein AS.
-
Gavana wa Mombasa adai Masheikhe 24 wameuawa na serikali
Oct 08, 2016 23:32Gavana wa ODM katika kaunti ya Mombasa nchini Kenya ameikosoa vikali serikali kutokana na kukithiri mauaji ya washukiwa mbali mbali na hususan wa ugaidi na kudai kuwa vyombo vya usalama nchini humo vimeua Masheikh zaidi ya 24 katika miaka ya hivi karibuni.