-
Malaysia yataka kupatiwa ufumbuzi matatizo ya Waislamu wa Rohingya
Sep 25, 2016 00:45Ahmad Zahid Hamidi Naibu Waziri Mkuu wa Malaysia ametaka kutekelezwa mpango kamili na jumuishi wa kuyapatia ufumbuzi matatizo yanayowakabili Waislamu wa Rohingya; ambao wamelazimika kuhama Myanmar na kuwa wakimbizi kutokana na mashinikizo ya Mabudha wenye misimamo mikali wa nchi hiyo.
-
Seneta nchini Australia akoloslewa kwa matamshi yake dhidi ya Waislamu
Sep 17, 2016 23:18Seneta Pauline Hanson wa Australia amekosolewa kwa matamshi yake yaliyojaa chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu.
-
Waislamu Afrika Kusini wavunjiwa heshima
Sep 16, 2016 09:56Wananchi wa mji wa Tshwane nchini Afrika Kusini wamebainisha hasira zao baada ya kupatikana maandishi ukutani yenye kuwavunjia heshima Waislamu.
-
Waislamu Nigeria waandamana wakitaka Sheikh Zakzaky aachiwe huru
Sep 15, 2016 11:27Waislamu nchini Nigeria kwa mara nyingine tena wameandamana wakitaka kuachiwa huru haraka iwezekanavyo Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky.
-
Msikiti wateketezwa moto na wenye chuki dhidi ya Uislamu Marekani
Sep 13, 2016 03:12Kituo cha Kiislamu katika jimbo la Florida Marekani kimeteketezwa moto na watu wenye chuki dhidi ya Uislamu.
-
Viongozi wa Waislamu Kenya walaani wanawake magaidi waliokuwa wamevaa buibui
Sep 13, 2016 02:29Viongozi wa Waislamu nchini Kenya wamewakana na kuwalaani wanawake watatu waliotekeleza hujuma ya kigaidi dhidi ya kituo cha polisi mjini Mombasa siku ya Jumapili.
-
Ethiopia yaachilia huru mamia ya wafungwa wakiwemo Waislamu
Sep 12, 2016 03:34Ethiopia imetangaza kuwaachilia huru mamia ya wafungwa wakiwemo Waislamu ambao walikuwa wanashikiliwa kwa kupinga uingiliaji wa serikali katika mambo yao ya kidini.
-
Maafa ya Mina ni thibitisho watawala wa Aal Saud hawastahiki kusimamia Haram Mbili Takatifu
Sep 12, 2016 03:28Khatibu wa Sala ya Idul Adhaa mjini Tehran amesema maafa ya Mina katika msimu wa Hija mwaka jana ni thibitisho kuwa utawala wa ukoo wa Aal Saud haustahiki kusimamia Maeneo Mawili Matakatifu ya Waislamu.
-
Rais Rouhani awatumia viongozi wa nchi za Kiislamu salamu za Idi
Sep 11, 2016 22:06Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia viongozi wa nchi za Kiislamu duniani salamu za kheri na fanaka kwa munasaba wa siku kuu ya Idul Adha.
-
Ayatullah Nouri Hamedani: Haram mbili tukufu ni milki ya Waislamu wote
Sep 09, 2016 03:30Ayatullah Hussein Nouri Hamedani, mmoja wa Marjaa Taqlidi aliyeko katika mji wa Qom amesema: Haram mbili tukufu za Makka na Madina zilizoko nchini Saudi Arabia ni milki ya Waislamu wote duniani.