Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Waislamu

  • Wanawake Waislamu US watakiwa kujifunza mbinu za kujihami

    Wanawake Waislamu US watakiwa kujifunza mbinu za kujihami

    Mar 13, 2016 13:22

    Baraza la Mahusiano la Waislamu nchini Marekani limewataka wanawake wa Kiislamu nchini humo kujifunza mbinu za kujilinda na kujihami wanaposhambuliwa, wakati huu ambapo chuki dhidi ya Waislamu na Uislamu zimeongezeka kwa kiasi kikubwa mno.

  • Rouhani: Haram na matukufu ya Kiislamu ni mstari mwekundu kwa Iran

    Rouhani: Haram na matukufu ya Kiislamu ni mstari mwekundu kwa Iran

    Mar 12, 2016 11:54

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu haitoruhusu makundi ya kigaidi kushambulia Haram na matukufu mengine ya Kiislamu nchini Iraq na Syria huku akisisitiza kuwa, maeneo matakatifu ya kidini ni mstari mwekundu wa taifa hili.

  • Waislamu wa Rohingya wanakabiliwa na hali mbaya

    Waislamu wa Rohingya wanakabiliwa na hali mbaya

    Mar 02, 2016 11:55

    Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa Waislamu wanaotaabika wa Rohingya wanaendelea kuishi katika hali ya kutisha licha ya ahadi zilizotolewa na chama cha upinzani cha nchi hiyo kilichoshinda uchaguzi kuwa kitalinda na kutetea haki za waliowachache huko Myanmar.

  • Waislamu wa Rohingya wanakabiliwa na hali mbaya

    Waislamu wa Rohingya wanakabiliwa na hali mbaya

    Mar 02, 2016 10:37

    Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa Waislamu wanaotaabika wa Rohingya wanaendelea kuishi katika hali ya kutisha licha ya ahadi zilizotolewa na chama cha upinzani cha nchi hiyo kilichoshinda uchaguzi kuwa kitalinda na kutetea haki za waliowachache huko Myanmar.

  • Waislamu India wapinga uchochezi wa Wahindu

    Waislamu India wapinga uchochezi wa Wahindu

    Mar 02, 2016 03:45

    Waislamu wa India wamefanya maandamano mjini New Delhi wakipinga vitendo vya kichochezi vinavyofanywa na Wahindu wenye misimamo mikali.

  • Rais wa zamani wa Sudan ataka Waislamu waungane dhidi ya Israel

    Rais wa zamani wa Sudan ataka Waislamu waungane dhidi ya Israel

    Feb 24, 2016 11:04

    Rais wa zamani wa Sudan, Abdurahman Suwar al-Dhahab ametoa wito wa kuweko mshikamano baina ya Waislamu ili kuweza kuzima njama za utawala haramu wa Israel dhidi yao.

  • Waislamu na Wakristo wa Cameroon kulinda misikiti na makanisa dhidi ya mashambulio ya Boko Haram

    Waislamu na Wakristo wa Cameroon kulinda misikiti na makanisa dhidi ya mashambulio ya Boko Haram

    Feb 23, 2016 00:09

    Waislamu na Wakristo wa Cameroon wanaandaa mikakati ya kupambana na kundi la Boko Haram la nchini Nigeria.

  • Matukio ya wiki ya Kiislamu

    Matukio ya wiki ya Kiislamu

    Feb 13, 2016 03:16

    Matukio muhimu ya Kiislamu ukanda wa Afrika Mashariki

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS