-
Ugomvi wa madaraka wapelekea mkuu wa majeshi Lesotho kuuawa
Sep 06, 2017 03:58Waziri wa Ulinzi wa Lesotho, Sentje Lebona ametangaza habari ya kuuawa Mkuu wa Majeshi nchini humo, Khoantle Motsomotso baada ya kujiri mapigano kati ya askari walinzi na askari wengine wa serikali ambao walikuwa na ugomvi wa kuwania madaraka.
-
Sierra Leone: Idadi ya wahanga wa maporomoko ya udongo imepita elfu moja
Aug 28, 2017 08:13Serikali ya Sierra Leone imetangaza kuwa, idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na maporomoko ya udongo yaliyoambata na mafuriko katika mji wa milimani wa Regent nje kidogo ya Freetown imepindukia elfu moja.
-
Watu 10 wauawa na wanamgambo wanaoungwa mkono na Marekani kusini mwa Somalia
Aug 26, 2017 03:55Serikali ya Somalia imetangaza habari ya kuuawa watu 10 ambao ni raia wa kawaida katika shambulizi la wabeba silaha kijiji cha Barire, jimbo la Lower Shebelle, kusini mwa nchi hiyo.
-
Maporomoko ya udongo yaua watu 40 kaskazini mashariki mwa Kongo DR
Aug 17, 2017 14:37Watu 40 wamefariki dunia baada ya maporomoko ya udongo kusomba kijiji kimoja cha uvuvi kwenye fukwe za Ziwa Albert kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Watu 20 wauawa katika mapigano yaliyowahusisha ash-Shabab wasiokubaliana Somalia
Aug 11, 2017 04:13Watu 20 wanaripotiwa kuuawa katika mapigano yaliyotokea kati ya wanachama wa kundi la ash-Shabab huko kusini magharibi mwa Somalia.
-
UN: Watu 34 wameuawa katika machafuko ya karibuni Jamhuri ya Afrika ya Kati
Aug 09, 2017 02:39Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa watu wasiopungua 34 wameuawa katika mapigano ya karibuni nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Watu wasiopungua 12 wauawa katika shambulio dhidi ya kanisa Nigeria
Aug 06, 2017 16:24Watu wasiopungua 12 wameuawa kusini mashariki mwa Nigeria na makumi ya wengine kujeruhiwa baada ya watu waliokuwa na silaha kuvamia kanisa moja na kuanza kuwamiminia watu risasi.
-
Abiria 14 wauawa na kujeruhiwa katika uvamizi Sudan Kusini
Aug 03, 2017 04:25Abiria wanne wameuawa na wengine zaidi ya 10 wamejeruhiwa baada ya watu waliojizatiti kwa silaha kushambulia msafara wa mabasi nchini Sudan Kusini.
-
Watu 33 wauawa katika mapigano ya wakulima na wafugaji nchini Nigeria
Jul 21, 2017 08:03Watu 33 wameripotiwa kupoteza maisha katika mapigano makali baina ya wakulima na wafugaji, katikati mwa Nigeria.
-
Wanajeshi watano wauawa kaskazini mwa Misri
Jul 18, 2017 07:38Wanajeshi wasiopungua watano wa serikali ya Misri wameuawa katika mripuko wa bomu uliotokea kwenye mkoa wa Sinai Kaskazini.