-
Miili minane ya wanajeshi wa serikali yapatikana kaskazini mwa Mali
Jul 18, 2017 07:37Duru za usalama za Mali zimetangaza habari ya kupatikana miili ya wanajeshi wanane wa serikali, kaskazini mwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Magaidi watatu wakufurishaji wauawa Sinai, Misri
Jul 16, 2017 15:08Jeshi la Misri limetangaza habari ya kuuawa magaidi watatu wakufurishaji katikati ya Rasi ya Sinai, kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Wanne wauawa 21 wajeruhiwa katika mapigano mapya karibu na Tripoli, Libya
Jul 11, 2017 14:45Wizara ya Afya ya Libya imetangaza kuwa, watu 25 wameuawa na kujeruhiwa katika mapigano yaliyotokea siku mbili zilizopita baina ya makundi hasimu mashariki mwa Tripoli, mji mkuu wa Libya.
-
Watu 12 wauawa katika mapigano ya hivi karibuni DRC
Jul 06, 2017 07:42Watu 12 wameripotiwa kuuawa katika mapigano ya hivi karibuni kabisa baina ya waasi na jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika mkoa wenye machafuko wa Kivu Kusini, mashariki mwa nchi hiyo kubwa na pana ya katikati mwa Afrika.
-
Watu 150 wauawa katika mapigano ya kikabila Nigeria
Jul 05, 2017 14:28Mapigano ya kikabila yaliyotokea katika jimbo la Cross River lililoko kusini mashariki mwa Nigeria yamesababisha vifo vya watu wasiopungua 150.
-
Watu watatu wauawa katika hujuma ya kigaidi msikitini Cameroon
Jul 01, 2017 13:24Magaidi wajirupua nje ya msikiti nchini Cameroon na kuwaua watu watatu Ijumaa.
-
Watu kadhaa wauawa katika mapigano ya ndani CAR
Jul 01, 2017 06:33Mapigano yanayojiri nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati yamesababisha vifo vya watu wawili na kujeruhiwa wengine wanne.
-
Makumi wauawa katika mapigano ya kikabila katika jimbo la Taraba Nigeria
Jun 24, 2017 14:12Makumi ya watu wanaripotiwa kuuawa katika mapigano ya kikabila yaliyozuka katika jimbo la taraba la mashariki mwa Nigeria huku kikosi maalumu cha askari kikitumwa katika eneo hilo kwa ajili ya kutuliza mambo.
-
Mapigano makali yaripotiwa mashariki mwa Congo, 16 wauawa
Jun 23, 2017 04:32Mapigano makali yameripotiwa kati ya askari wa jeshi la serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na makundi ya waasi huko kaskazini mashariki mwa nchi hiyo na kusababisha mauaji ya watu 16.
-
Kwa akali watu 16 wauawa katika shambulio la kujiripua, kaskazini mwa Nigeria
Jun 19, 2017 15:23Habari kutoka Nigeria zinaarifu kwamba, kwa akali watu 16 wameuawa na wengine 11 kujeruhiwa, katika mashambulizi kadhaa ya kujiripua kwa mabomu katika jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa Nigeria.