-
Onyo la makundi ya mapambano ya Iraq kuhusu kuondoka askari wa Marekani
Nov 22, 2021 02:23Kufuatia uvumi unaoenezwa kuhusu kutotekelezwa ratiba ya kuondoka askari wa Marekani katika ardhi ya Iraq, makundi ya mapambano ya nchi hiyo yametoa onyo kali kuhusu jambo hilo.
-
Mbunge Mmarekani akiri kushindwa vibaya nchi yake huko Afghanistan
Jul 13, 2021 02:34Mbunge mmoja wa chama cha Republican cha Marekani amekiri kuwa Washington imeshindwa vibaya nchni Afghanistan na ametaka wanajeshi wa Marekani warudishwe haraka nchini humo.
-
Tsunami ya kujiua katika jeshi la Marekani, nembo ya mgogoro wa kinafsi na kimaadili
Jun 26, 2021 15:01Ripoti ya karibuni ya Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) inaonesha ongezeko la visa vya kujiua kati ya wanajeshi wa nchi hiyo hususan maveterani wa jeshi.
-
Pentagon: Wanajeshi wa Marekani wataendelea kuhudumu huko Afghanistan
Feb 20, 2021 07:51Katika hali ambayo serikali iliyotangulia ya Washington iliahidi kuwa, wanajeshi wa Marekani wataondoka Afghanistan hadi kufikia mwezi Mei mwaka huu; Mkuu wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) ametangaza kuwa bado uamuzi haujachukuliwa kuhusu suala hilo na hivi sasa wanajeshi wao wanaendelea kuwepo huko Afghanistan.
-
Marekani, Saudia na Israel zinachochea hujuma za kigaidi Iraq
Jan 25, 2021 07:50Harakati ya Kata'ib Hizbullah ya Iraq imesema hujuma za kigaidi ambazo zimetekelezwa na kundi la kigaidi la ISIS nchini humo zinachochewa na muungano wa Marekani, Saudi Arabia na Israel.
-
Wanajeshi wa Marekani nchini Iraq; mwaka mmoja baada ya kupasishwa mpango wa Bunge
Jan 06, 2021 02:45Jumanne ya jana tarehe 5 Januari ilisadifiana na kutimia mwaka mmoja tangu Bunge la Iraq lilipopasisha mpango wa kufukuzwa nchini humo askari wa Marekani.
-
Kuanza kuondoka askari wa jeshi la Marekani nchini Somalia; kujipanga upya kijeshi Washington barani Afrika
Dec 21, 2020 13:45Marekani imeanza kuwaondoa wanajeshi wake walioko nchini Somalia kwa madhumuni ya kuwapeleka katika vituo vyake vingine mashariki mwa Afrika.
-
Ahadi mpya za Trump za kuondoa wanajeshi Afghanistan; ahadi chapwa za kiuchaguzi
Oct 09, 2020 10:35Uchaguzi wa Rais nchini Marekani unazidi kukaribia huku hali ya kisiasa ya rais wa nchi hiyo, Donald Trump si nzuri mbele ya mpinzani wake Joe Biden. Ikulu ya White House na hasa Trump mwenyewe wanazidi kufanya lolote liwezekanalo, hata kutoa ahadi za maneno tena zenye migongano, ili kuvutia wapiga kura.
-
Kupunguzwa askari wa Marekani nchini Iraq, hatua ya hiari au isiyo na budi?
Sep 11, 2020 07:36Rais Donald Trump wa Marekani aliahidi na kusisitiza wakati wa kampeni zake za uchaguzi kwamba, endapo atachaguliwa kuwa Rais basi atayaondoa majeshi ya nchi hiyo yaliyopo katika eneo la Asia Magharibi.
-
Muungano wa Fat'h: Trump hana haki ya kuainisha wakati wa kubakia wanajeshi wa Marekani nchini Iraq
Aug 29, 2020 02:37Muungano wa al Fat'h katika Bunge la Iraq umetangaza kuwa Rais Donald Trump wa Marekani hana haki ya kuainisha wakati wa kuendelea kuwepo wanajehi wa nchi yake katika ardhi ya Iraq.