-
Serikali ya Uswisi yakataa pendekezo la kupiga marufuku burqa
Jun 27, 2018 09:15Serikali ya Uswisi imepinga kampeni zinazofanyika mashinani za kushinikiza marufuku ya nchi nzima ya vazi la burqa linalovaliwa na baadhi ya wanawake Waislamu nchini humo.
-
Seneti ya Uholanzi yapiga marufuku vazi la burqa
Jun 26, 2018 11:21Bunge la Seneti la Uholanzi limepasisha muswada wa sheria inayopiga marufuku vazi la stara la burqa linalovaliwa na baadhi ya wanawake Waislamu nchini humo.
-
Unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya wanawake umekita mizizi katika sekta za elimu nchini Marekani
Jun 13, 2018 21:53Matokeo mapya kabisa ya uchunguzi yanaonyesha kwamba, nusu ya wanawake wanaofanya kazi katika sekta za elimu na teknolojia nchini Marekani, wako katika hatari kubwa ya kubakwa na kudhalilishwa kijinsia.
-
Wanawake Waislamu Denmark wapigwa marufuku kuvaa niqabu
May 31, 2018 20:22Serikali ya Denmark imepiga marufuku vazi la burqa au niqabu linalovaliwa na baadhi ya wanawake wa Kiislamu.
-
Amnesty na HRW zaitaka Saudia iwaachie huru wanaharakati 7 wanawake
May 20, 2018 02:47Mashirika ya kutetea haki za binadamu ya Amnesty International na Human Rights Watch yameutaka utawala wa Aal-Saud uwaachie huru wanaharakati saba wa kike walioongoza kampeni za kutaka kuruhusiwa wanawake kuendesha magari nchini Saudi Arabia.
-
Saudia yawakamata wanaharakati waliopigania haki ya wanawake kuendesha gari nchini humo
May 18, 2018 10:16Utawala wa Aal-Saud umewatia mbaroni wanaharakati kadhaa wengi wao wakiwa wa kike, walioongoza kampeni za kutaka kuruhusiwa wanawake kuendesha magari nchini Saudi Arabia.
-
Wanawake wahajiri wa Kiafrika wanadhalilishwa kingono katika jela zinazosimamiwa na Saudia na UAE, Aden
Apr 19, 2018 03:21Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR yameripoti kuwa wanawake wahajiri wa Kiafrika wanakashifiwa na kudhalilishwa kingono katika mji wa Aden kusini mwa Yemen ambao unadhibitiwa na vikosi vya Imarati (UAE) na Saudi Arabia.
-
Al Wifaq yasisitiza kuachiwa huru wanawake wanaoshikiliwa katika jela za utawala wa Aal Khalifa
Apr 12, 2018 02:47Jumuiya ya Kiislamu ya al Wifaq ya nchini Bahrain imetaka kuachiwa huru wanawake waliofungwa katika jela za utawala wa Aal Khalifa ambao walitiwa mbaroni kwa sababu tu ya kuwasilisha maoni na fikra zao.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Kuwepo Iran katika eneo hili hakuipendezi hata kidogo Marekani
Mar 09, 2018 02:55Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amebainisha wazi kwamba taifa la Iran liko tayari muda wote kumpigisha magoti adui yake na kusisitiza kuwa, uwepo wa Iran katika eneo hili hauihusu kivyovyote vile Marekani.
-
Museveni: Wanaume wanaowapiga wake zao ni wapumbavu
Mar 08, 2018 12:55Nchi za Afrika zimejiunga na ulimwengu katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake, huku Rais Yoweri Museveni wa Uganda akiwataja kama wapumbavu, wanaume wanaowapiga wake zao.