-
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye, amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi
Jul 30, 2026 14:53Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye, amelazwa hospitalini na hana fahamu baada ya kuziraia akiwa mahakamani jana Jumatano. Hayo ni kwa mujibu wa mkewe na watu wengine wanaozihimiza mamlaka husika nchini Uganda kumwachilia huru baada ya kunyimwa dhamana mara kwa mara.
-
Ripoti yafichua: Chama tawala Kenya kiliazimia kuua Azimio la Umoja-One Kenya
May 10, 2024 06:24Vyombo vya habari vya Kenya vimefichua kuwa, mabadiliko ya siri yaliyotayarishiwa miswada ya kufanikisha utekelezaji wa ripoti ya Kamati ya Kitaifa ya Mazungumzo (NADCO) iliyowasilishwa majuzi katika Seneti ya nchi hiyo yamefuchua njama ya kuvunja chama cha Azimio la Umoja-One Kenya kinachoongozwa na Raila Odinga.
-
Mgombea wa upinzani Chad alaani vitisho na ghasia dhidi yake na wafuasi wake
May 09, 2024 03:44Chama cha Succès cha Masra Waziri Mkuu wa Chad ambaye ni mmoja wa wagombea wa urais aliyechuana katika uchaguzi Jumatatu wiki hii jana kililaani ghasia na vitisho dhidi yake na wafuasi wake, na kudai kuwa uchaguzi wa rais uligubikwa na udanganyifu.
-
Marekani yashadidisha ukandamizaji dhidi ya wapinzani wa utawala wa Kizayuni na waungaji mkono wa Palestina
Apr 25, 2024 23:39Marekani ndiyo muungaji mkono mkubwa zaidi wa utawala wa Kizayuni wa Israel ambapo serikali ya Biden imetoa msaada mkubwa zaidi wa kijeshi na silaha kwa Tel Aviv wakati wa vita vya Gaza, ambavyo vimeingia katika mwezi wake wa saba.
-
Bobi Wine, kiongozi wa upinzani Uganda atiwa mbaroni
Oct 05, 2023 10:03Kwa mara nyingine tena, mwanasiasa wa upinzani nchini Uganda ambaye pia alikuwa mgombea urais wa chama cha upinzani cha NUP katika uchaguzi uliopita, Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine, amekamatwa mjini Entebbe.
-
Ghasia zashtadi Senegal, mitandao ya kijamii yafungwa
Jun 02, 2023 22:04Watu kadhaa wameuawa huku wengine wengi wakijeruhiwa nchini Senegal, katika maandamano ya ghasia ya wafuasi wa kiongozi wa upinzani nchini humo Ousmane Sonko, ambaye karibuni alihukumiwa kifungo cha miaka miwili jela.
-
Onyo dhidi ya wapinzani wa mfumo wa kifalme nchini Uingereza
May 07, 2023 23:34Kufuatia maandamano ya maelfu ya watu wanaoipinga familia ya kifalme ya Uingereza katika mji wa London, mbunge mmoja wa ngazi ya juu wa chama tawala cha kihafidhina cha nchi hiyo, ametoa matamshi yenye utata, akitaka wapinzani hao wafukuzwe nchini ikiwa hawawezi kumkubali mfalme wa nchi hiyo.
-
Lissu arejea nyumbani kwa kishindo; ujio wake utahuisha upinzani Tanzania?
Jan 25, 2023 08:39Kiongozi wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu amerejea nyumbani kutoka uhamishoni baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa marufuku ya mikutano ya kisiasa ya hadhara.
-
Kushtadi mashinikizo ya Ukraine kwa wapinzani kwa kuwavua uraia wanaoipinga serikali ya Zelenskyy
Jan 12, 2023 23:34Nchi za Magharibi, kinyume na nara na kaulimbiu zao za kizandiki za kutetea utu na ahadi zao za kusimamia kidemokrasia, zimeshakiuka mara nyingi misingi hiyo; na sio tu haziwezi kuwavumilia wapinzani na wakosoaji wao, bali hutumia pia njia mbalimbali kuzima sauti zao au hata kuwamaliza moja kwa moja.
-
Kurudi nyuma kwa serikali ya Macron dhidi ya upinzani
Jan 05, 2023 22:50Serikali ya Ufaransa Jumanne wiki hii ilidokeza uwezekano wa kutazamwa umpya mpango tata wa Rais Emmanuel Macron wa kubadilisha sheria za pensheni. Hatua hiyo inaonekana kuwa ni kusalimu amri mbele ya wapinzani wa mpango huo.