-
Iran na Umoja wa Mataifa zajadili mgogoro wa Yemen mjini Tehran
Feb 08, 2021 12:26Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu inaunga mkono kikamilifu jitihada za Umoja wa Mataifa za kujaribu kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Yemen.
-
Zarif: Muqawama wa Wairani umefelisha mashinikizo ya juu ya Marekani
Jan 20, 2021 03:13Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema muqawama, mapambano na kusimama kidete wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu kumeipigisha mweleka sera ya mashinikizo ya juu kabisa ya Marekani dhidi ya taifa hili.
-
Zarif akosoa undumakuwili wa Wamagharibi mkabala wa mienendo ya Trump
Jan 09, 2021 02:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali undumakuwili wa nchi za Magharibi ambazo hivi sasa zinakosoa mienendo ya kukanyaga utawala wa sheria ya Rais Donald Trump wa Marekani, licha ya kufuata kibubusa sera zake za kibeberu katika kipindi cha miaka minne iliyopita.
-
Zarif aishangaa Marekani kupiga ngoma ya vita badala ya kukabili corona
Jan 01, 2021 04:16Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameionya vikali Marekani kwa kupiga ngoma ya vita na kusisitiza kuwa, taifa hili lipo tayari kujilinda.
-
Zarif amshambulia Trump kwa kuihusisha Iran na mashambulio ya Iraq
Dec 24, 2020 08:16Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemjia juu Rais Donald Trump wa Marekani ambaye ameituhumu Tehran kuwa imehusika na mashambulio ya maroketi dhidi ya ubalozi wa US mjini Baghdad, Iraq.
-
Zarif: Eneo la Ghuba ya Uajemi lichague ama amani au ukosefu wa uthabiti
Oct 22, 2020 07:59Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema eneo la Ghuba ya Uajemi sharti likhitari moja kati ya mambo mawili, ama amani au ukosefu wa uthabiti.
-
Palestina: Ujenzi wa vitongoji vya Wazayuni unaendelea Ukingo wa Magharibi
Oct 03, 2020 02:42Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina imetangaza kuwa, utawala wa Kizayuni unaendeleza ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika maeneo ya Wapalestina ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, tofauti kabisa na madai ya Imarati na Bahrain ya kusimamishwa ujenzi wa vitongoji hivyo baada ya nchi hizo mbili za Kiarabu kutangaza uhusiano wa kawaida na Israel.
-
Iran: Historia haitowasamehe wauaji na wasaliti
Oct 01, 2020 02:32Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema kuwa, historia haiwezi kamwe kuwasamehe wauaji na wasaliti.
-
Iran yaitaka Armenia na Azerbaijan zisitishe mapigano, makumi wauawa
Sep 28, 2020 11:51Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezitaka nchi za Armenia na Azerbaijan zijizuie na zisitishe mapigano yanayoshuhudiwa katika mpaka wa nchi mbili hizo tokea jana Jumapili.
-
Iran: Njia yoyote ya uchukuaji hatua inayopuuza matakwa ya taifa la Palestina ni batili
Sep 19, 2020 04:33Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetangaza kuwa: Njia yoyote ile ya uchukuaji hatua ikiwemo ya "Muamala wa Karne" ambayo haitatilia maanani matakwa ya taifa la Palestina ni batili.