-
Ijumaa, tarehe 18 Aprili, 2025
Apr 18, 2025 02:32Leo ni Ijumaa tarehe 19 Shawwal 1446 Hijria sawa na Aprli 18 mwaka 2025.
-
Kwa nini Rais Mnangagwa wa Zimbabwe anakabiliwa na shinikizo la kujiuzulu?
Apr 03, 2025 11:35Mgawanyiko unaendelea kushuhudiwa ndani wa chama tawala cha ZANU-PF nchini Zimbabwe umeibua hofu ya uwezekano wa jaribio la mapinduzi dhidi ya Rais Mnangagwa, ambaye anajaribu kusalia madarakani baada ya mwaka 2028 licha ya kuwa ni kinyume na katiba.
-
Zimbabwe: Tunafanya hima kujiunga na kundi la BRICS
Mar 08, 2025 07:01Zimbabwe inafanya kila liwezekanalo kujiunga na kundi la BRICS, ikilenga kuimarisha uchumi wake na ushirikiano wa kimataifa.
-
Nchi nyingine ya Afrika yataka kujiunga na jumuiya ya BRICS
Jun 20, 2024 02:51Zimbabwe imesema iko tayari kujiunga na jumuiya ya kiuchumi ya BRICS, ambayo itatoa fursa nzuri kwa nchi hiyo kufanya biashara katika mazingira huru na nchi nyingine wanachama.
-
Iran: Lugha ya Kifarsi kufundishwa katika Vyuo Vikuu vya Zimbabwe
May 10, 2024 07:23Waziri wa Sayansi, Utafiti na Teknolojia wa Iran ametangaza utayarifu wa Jamhuri ya Kiislamu wa kuanza kufunza lugha ya Kifarsi katika Vyuo Vikuu vya Zimbabwe.
-
Jumanne, Mei 7, 2024
May 07, 2024 02:15Leo ni Jumanne tarehe 28 Mfunguo Mosi Shawwal 1445 Hijria sawa na tarehe 7 Mei 2024.
-
Alkhamisi, tarehe 18 Aprili, 2024
Apr 18, 2024 03:03Leo ni Alkhamisi tarehe 9 Shawwal 1443 Hijria sawa na Aprli 18 mwaka 2024.
-
Mahakama ya Zimbabwe yawazuia wabunge wa upinzani kushiriki uchaguzi muhimu wa kesho Jumamosi
Dec 08, 2023 14:28Mahakama ya Zimbabwe imewazuia wagombea wengi wa upinzani kushiriki katika uchaguzi mdogo uliopangwa kufnyika siku ya Jumamosi ya kesho ambao yumkini ukakiwezesha chama tawala cha ZANU-PF kufanya mabadiliko ya katiba.
-
Zimbabwe yatangaza 'hali ya dharura' Harare kutokana na kipindupindu
Nov 18, 2023 03:48Zimbabwe imetangaza hali ya dharura katika mji mkuu wa nchi hiyo Harare, kutokana na mripuko wa ugonjwa wa kipindupindu ambo umeua makumi ya watu, mbali na maelfu ya wengine kupata maambukizi.
-
Zimbabwe katika jitihada za kuzuia kuenea mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu
Oct 23, 2023 12:40Serikali ya Zimbabwe imetangaza kuchukua hatua za kudhibiti kuenea ugonjwa wa kipindupindu nchini humo ambapoo hadi sasa watu 5,000 wamepata maambukizi tangu mwezi Februari mwaka huu.