Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Zimbabwe

  • Wasiwasi watanda Zimbabwe baada ya Mugabe kuonekana kuunga mkono mpinzani

    Wasiwasi watanda Zimbabwe baada ya Mugabe kuonekana kuunga mkono mpinzani

    Mar 09, 2018 03:42

    Wasiwasi umetanda katika chama tawala nchini Zimbabwe, ZANU-PF, baada ya rais wa zamani Robert Mugabe kuonekana hadharani akiwa ameandamana na jenerali mstaafu ambaye yuko katika kambi ya upizani na ambaye anapanga kuwania urais baadaye mwaka huu.

  • Mfuasi wa Mugabe aunda chama kipya cha siasa Zimbabwe kuchuana na rais Mnangagwa katika uchaguzi

    Mfuasi wa Mugabe aunda chama kipya cha siasa Zimbabwe kuchuana na rais Mnangagwa katika uchaguzi

    Mar 05, 2018 22:58

    Ambrose Mutinhiri, jenerali mstaafu wa jeshi la Zimbabwe na mfuasi wa aliyekuwa rais wa nchi hiyo Robert Mugabe ameunda chama kipya cha siasa kinachojulikana kama Harakati Mpya ya Kizalendo (NFP) kuchuana na rais Emmerson Mnangagwa katika uchaguzi mkuu ujao.

  • Maelfu ya Wazimbabwe wauaga mwili wa 'Jenerali wa Watu' Tsvangirai; maziko yake kufanyika leo

    Maelfu ya Wazimbabwe wauaga mwili wa 'Jenerali wa Watu' Tsvangirai; maziko yake kufanyika leo

    Feb 20, 2018 04:49

    Shughuli ya kutoa heshima na kuuaga mwili wa aliyekuwa kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Zimbabwe MDC Morgan Tsvangirai imefanyika kwenye viunga vya mji mkuu Harare.

  • Uingereza kuwatimua maelfu ya wahajiri wa Zimbabwe

    Uingereza kuwatimua maelfu ya wahajiri wa Zimbabwe

    Feb 16, 2018 23:10

    Serikali ya Uingereza imetangaza azma yake ya kuwafukuza nchini humo maelfu ya wahajiri haramu raia wa Zimbabwe.

  • Rais wa Zimbabwe amteua Jaji wa Mahakama Kuu kuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi

    Rais wa Zimbabwe amteua Jaji wa Mahakama Kuu kuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi

    Jan 31, 2018 23:09

    Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe amemteua Jaji wa Mahakama Kuu Priscilla Chigumba kuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi wakati nchi hiyo inajiandaa kwa uchaguzi mkuu muhimu ambao itibari yake inatazamiwa kuwa na umuhimu mkubwa katika kujenga tena uhusiano wake wa nje.

  • Rais wa Zimbabwe: Nitaheshimu matokeo ya uchaguzi wa rais

    Rais wa Zimbabwe: Nitaheshimu matokeo ya uchaguzi wa rais

    Jan 24, 2018 11:09

    Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe ameahidi kuwa nchi hiyo itafanya uchaguzi wa urais kabla ya Julai mwaka huu na kwamba ataheshimu uamuzi wa wananchi.

  • Chama tawala Zimbabwe chawatimua bungeni wafuasi 11 wa Mugabe

    Chama tawala Zimbabwe chawatimua bungeni wafuasi 11 wa Mugabe

    Jan 19, 2018 04:17

    Chama tawala nchini Zimbabwe ZANU-PF kimewafukuza bungeni waitifaki na wafuasi 11 wa aliyekuwa rais wa nchi hiyo Robert Mugabe, huku rais mpya Emmerson Mnangagwa akiendelea kuwatimua maafisa waliomuunga mkono hadharani Mugabe na mkewe Grace.

  • Rais Mnangagwa: Uchaguzi wa Zimbabwe kufanyika baada ya miezi minne au mitano

    Rais Mnangagwa: Uchaguzi wa Zimbabwe kufanyika baada ya miezi minne au mitano

    Jan 19, 2018 00:57

    Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe ametangaza kuwa, uchaguzi mkuu wa nchi hiyo utafanyika katika kipindi cha miezi minne au mitano ijayo.

  • Mawaziri wawili wa serikali iliyopita ya Zimabwe wafunguliwa mashtaka ya ufisadi

    Mawaziri wawili wa serikali iliyopita ya Zimabwe wafunguliwa mashtaka ya ufisadi

    Jan 06, 2018 13:26

    Mawaziri wawili waliohudumu katika serikali ya aliyekuwa rais wa Zimbabwe Robert Mugabe wamefunguliwa mashtaka ya ufisadi, katika kile kinachoonekana kama hatua ya kuwakandamiza maafisa waaminifu kwa Mugabe.

  • Rais wa Zimbabwe abadilisha msimamo kuhusu serikali ya umoja wa kitaifa

    Rais wa Zimbabwe abadilisha msimamo kuhusu serikali ya umoja wa kitaifa

    Jan 05, 2018 23:30

    Habari kutoka nchini Zimbabwe zinasema kuwa rais wa nchi hiyo amekubaliana na mpango wa kuweko serikali ya umoja wa kitaifa nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS