-
Mamia ya watu wanaandamana Afrika Kusini kupinga chuki dhidi ya wageni
Aug 09, 2026 11:04Mamia ya watu wameandmana katika miji mbalimbali nchini Afrika Kusini wakitaka kukomeshwa ghasia dhidi ya wahamiaji, ambazo zimewalazimisha makumi ya maelfu ya watu kukimbia nchi hiyo.
-
Wabunge Kenya: Hakuna makubaliano mapya ya ushirikiano wa kijeshi na Uingereza
Aug 09, 2026 10:20Wabunge wa Kenya wamesema kuwa hakuna makubaliano mapya yaliyofikiwa kati ya Kenya na Uingereza kuhusu mkataba wa ushirikiano wa kijeshi (BATUK).
-
Ripoti ya polisi Kenya yafichua ukatili wa wanajeshi wa Uingereza Laikipia
Aug 01, 2026 11:45Ripoti ya siri ya polisi ya Kenya imefichua madai mazito ya ubakaji, ulawiti wa watoto na ukiukaji wa haki za kibinadamu unaodaiwa kufanywa na wanajeshi wa kikosi cha Uingereza wanaopata mafunzo Kenya (BATUK) katika Kaunti ya Laikipia.
-
Wasomali wamjia juu Trump baada ya kuwaita "takataka", na kwamba nchi yao "inanuka"
Dec 04, 2025 23:06Matamshi ya dharau yaliyotolewa na Rais wa Marekani, Donald Trump, kuhusu watu na nchi ya Somalia yamesababisha wimbi la hasira na majibu makali.
-
Je, kwa nini uadilifu wa rangi ni nara tupu isiyotekelezeka huko Marekani?
May 28, 2025 02:32Miaka mitano baada ya kuuawa kikatili George Floyd, kijana Mmarekani mweusi, na polisi wa nchi hiyo, hatua na sera zilizoahidiwa kutekelezwa na serikali ya Marekani na makampuni mengi makubwa ya kiuchumi nchini humo kwa ajili ya hakikisha haki na usawa vinadumishwa kati ya jamii na watu wa rangi tofauti wa nchi hiyo zimesahaulika kabisa.
-
Afrika Kusini yaandaa mkutano wa kimataifa dhidi ya ubaguzi wa rangi wa Israel
May 10, 2024 07:25Mkutano wa Kimataifa dhidi ya Ubaguzi wa Rangi wa Israel huko Palestina ulitazamiwa kuanza leo Ijumaa katika Jiji la Johannesburg nchini Afrika Kusini na utaendelea na kazi zake hadi tarehe 12 Mei mwaka huu.
-
Afrika Kusini yataka Israel itambulishwe kama "utawala wa kibaguzi"
Nov 25, 2023 01:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini ametangaza kwamba nchi hiyo inaendeleza juhudi katika mashirika na jumuiya za kimataifa za kuutambulisha utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa ni "utawala wa kibaguzi".
-
40% ya wanaume Waislamu Ujerumani wanakabiliwa na ubaguzi
Nov 08, 2023 02:39Utafiti mpya umefichua kuwa, asilimia 40 ya wanaume Waislamu nchini Ujerumani wanakabiliwa na vitendo vya ubaguzi katika maisha yao ya kila siku, huku hujuma na mashambulio ya kibaguzi dhidi ya Waislamu yakiripotiwa kukithiri katika nchi hiyo ya bara Ulaya.
-
Ushuhuda kwa Al Jazeera: Sweden imekuwa nchi ya chuki na ubaguzi dhidi ya wageni na Waislamu
Sep 05, 2023 04:15Sweden ambayo imekuwa ikijulikana kama mfano wa ustahamilivu tangu miaka ya 1970, imebadilika sana katika miongo michache iliyopita na kuwa nchi ya ubaguzi wa rangi, kuongezeka kwa vitendo vya chuki dhidi ya wageni na wahamiaji, na kushamiri harakati zenye misimamo mikali za mrengo wa kulia.
-
Wamarekani weusi, wahanga wa kwanza wa ubaguzi katika ajira
Jul 20, 2023 23:05Takwimu za hivi karibuni nchini Marekani zinaonyesha kuwa, watu weusi wanaunda asilimia 90 ya wafanyakazi walioachishwa kazi mwaka huu kutokana na kuongezeka kwa hofu ya mdororo wa kiuchumi na sera ya makampuni mengi ya kupunguza wafanyakazi.