-
Wafadhili walaani mashambulizi dhidi ya raia nchini Sudan
Jun 08, 2025 02:48Nchi 30 wafadhili duniani zimelaani mashambulizi dhidi ya raia na wafanyakazi wa masuala ya kibinadamu nchini Sudan na kutaka mashambulio hayo yakomeshwe mara moja.
-
Kundi la Wagner latangaza kuondoka Mali baada ya zaidi ya miaka 3
Jun 08, 2025 02:48Kampuni binafsi ya kijeshi ya Russia maarufu kwa jina la Wagner imetangaza kuwa imeamua kuondoka nchini Mali, na hivyo kumaliza zaidi ya miaka mitatu ya operesheni zake katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
-
UN yapongeza uamuzi wa Libya wa kushughulikia masuala ya usalama
Jun 08, 2025 02:47Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Libya (UNSMIL) umekaribisha uamuzi wa Baraza la Uongozi la Libya wa kuunda kamati mbili za kushughulikia masuala ya usalama na haki za binadamu kufuatia mapigano ya hivi karibuni ya silaha katika mji mkuu Tripoli.
-
Iran iko tayari kusaidia Kenya kujenga nyumba milioni moja
Jun 08, 2025 01:04Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa tayari kuisaidia Kenya kujenga nyumba milioni moja za bei nafuu nchini humo.
-
OCHA: Mamilioni Sahel Afrika wanahitaji msaada wa haraka wa kibinadamu
Jun 08, 2025 00:16Mamilioni ya watu katika Ukanda wa Sahel Afrika wanahitajia msaada wa haraka wa kibinadamu na hali yao inatarajiwa kuuwa mbaya zaidi katika siku zijazo kama misaada hiyo haitafikishwa kwa wakati.
-
Sababu za Chad kusimamisha utoaji visa kwa raia wa Marekani
Jun 07, 2025 09:55Kufuatia uamuzi wa Rais wa Marekani wa kuwawekea vikwazo vya usafiri raia wa nchi 12 ambazo kimsingi ni za Waislamu na za Kiafrika, nchi nyingi kati ya hizo zimeuchukulia uamuzi huo kuwa unatokana na siasa za utaifa na zinaziponga uhamiaji za Rais Donald Trump.
-
Bamada: Ukraine inaratibu mashambulizi ya magaidi nchini Mali
Jun 07, 2025 03:28Wakufunzi wa kijeshi wa Ukraine wanawafunza na kuwapa silaha wanamgambo wenye mfungamano na mtandao wa kigaidi wa al-Qaeda nchini Mali.
-
Waziri Mkuu wa Libya atoa amri ya kufanyika uchunguzi kuhusu mapigano ya Sabratha
Jun 06, 2025 23:00Waziri Mkuu wa Libya Abdul-Hamed Dbeibah jana Ijumaa alitoa amri kufanyika uchunguzi kuhusu mapigano yaliyozuka siku ya Alkhamisi katika mji wa pwani wa Sabratha wa kaskazini magharibi wa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Chad yasitisha utoaji wa visa kwa raia wa Marekani katika hatua ya kisasi
Jun 06, 2025 08:14Rais wa Chad, Mahamat Idriss Deby, siku ya Alhamisi alichukua hatua ya kujibu marufuku ya kusafiri iliyotangazwa na Marekani dhidi ya raia wa Chad, kwa kusitisha mara moja utoaji wa visa kwa raia wa Marekani.
-
UN yaelezea hofu yake kuhusu haki za binadamu Libya
Jun 06, 2025 03:18Umoja wa Mataifa umetaka uchunguzi huru ufanyike kuhusu mauaji ya kiholela yanayodaiwa kufanywa na kundi lenye silaha la Libya kufuatia kupatikana makumi ya maiti kwenye makaburi ya umati katika mji mkuu wa nchi hiyo, Tripoli.