-
Je, kutumwa silaha za nchi za Magharibi Ukraine kunatishia vipi usalama wa Afrika?
Jun 02, 2025 02:39Mkuu wa Idara ya Ushirikiano na Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kwamba silaha za Magharibi zinazotumwa Kiev hatimaye zinaishia mikononi mwa makundi ya kigaidi yenye silaha barani Afrika.
-
Kiongozi mwandamizi wa Inkatha Freedom Party cha Afrika Kusini auawa kwa risasi
Jun 01, 2025 06:39Kiongozi mwandamizi wa Inkatha Freedom Party (IFP) nchini Afrika Kusini ambaye ni mjumbe wa Baraza Kuu na ni Naibu Spika Bungeni, Petros Sithole, ameuawa kwa kupigwa risasi Jumamosi jioni mjini Johannesburg.
-
Uganda yadondosha msaada wa chakula Sudan Kusini
Jun 01, 2025 06:38Jeshi la Uganda limetangaza kuwa limefanya zoezi la kudondosha tani 600 za chakula muhimu kwa ajili ya wakazi wa maeneo kadhaa ya jimbo lililokumbwa na ghasia la Upper Nile huko Sudan Kusini.
-
Waziri Mkuu mpya wa Sudan ala kiapo cha kikatiba
Jun 01, 2025 03:43Kamil Idris aliapishwa jana Jumamosi kuwa Waziri Mkuu mpya wa Sudan, mbele ya Abdel Fattah al-Burhan, Mkuu wa Baraza la Mpito linalotawala nchini humo.
-
Idadi ya waliofariki kutokana na mafuriko nchini Nigeria yaongezeka hadi 151
May 31, 2025 22:52Idadi ya waliofariki dunia kutokana na mafuriko makubwa kwenye mji wa Mokwa, wa kaskazini-kati mwa Jimbo la Niger nchini Nigeria, imepanda na kufikia hadi 151.
-
Afrika Kusini yaanza kuchunguza jinai za enzi za 'apartheid'
May 31, 2025 07:15Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amemteua Jaji mstaafu wa Mahakama ya Kikatiba, Sisi Khampepe kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Ukweli na Maridhiano (TRC) ya kuchunguza ucheleweshaji wa mashtaka na uchunguzi wa jinai zilizofanyika enzi za ubaguzi wa rangi (apartheid) nchini humo.
-
Jeshi la Nigeria laua magaidi 60 wa Boko Haram jimbo la Borno
May 31, 2025 06:51Jeshi la Nigeria limetangaza habari ya kuwaua wanachama 60 wa kundi la kigaidi la Boko Haram baada ya kuzima shambulio dhidi ya kambi ya kijeshi huko Bita, eneo la Gwoza, kaskazini mashariki mwa Jimbo la Borno.
-
Shambulio la droni la waasi wa RSF laua watu sita hospitalini Sudan
May 31, 2025 03:40Vikosi vya kijeshi vya Rapid Support Forces (RSF) vya Sudan vililishambulia jiji la El-Obeid siku ya Ijumaa kwa kutumia droni, na kuua watu sita katika hospitali moja muhimu kusini mwa nchi, kwa mujibu wa vyanzo vya kitabibu na kijeshi.
-
Mafuriko yaua makumi ya watu nchini Nigeria
May 30, 2025 22:51Makumi ya watu wamepoteza maisha huku maelfu ya wengine wakilazika kuhama makazi yao kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazonyesha nchini Nigeria.
-
Magaidi wenye mfungamano na al-Qaeda waongeza mashambulio yao Msumbiji
May 30, 2025 07:20Wanamgambo wanaoaminika kuwa wanachama wa kundi la kigaidi linalojiita Ahlu Sunna Wal Jamaa (ASWJ) lenye mfungamano na mtandao wa al-Qaeda wameongeza mashambulio yao kaskazini mwa Msumbiji na kuzusha wasiwasi kwa mara nyingine.