-
Sudan yagundua makaburi ya halaiki yenye mamia ya miili Omdurman
May 22, 2025 09:07Jeshi la Sudan limesema leo Alkhamisi kwamba, makaburi ya halaiki ya mamia ya raia yamegunduliwa katika mji wa Omdurman, kaskazini mwa mji mkuu wa nchi hiyo, Khartoum.
-
Ramaphosa amfumba mdomo Donald Trump
May 22, 2025 02:37Rais wa Afrika Kusini, ambaye alikuwa mgeni wa rais wa Marekani katika Ikulu ya White House amejibu shutuma kali za Trump dhidi ya serikali ya Afrika Kusini kwa kumpa majibu mazito yaliyomfumba mdomo rais huyo mwenye kiburi wa Marekani.
-
Kamanda wa al-Shabaab ni miongoni mwa magaidi 45 walioangamizwa Somalia
May 22, 2025 02:36Vikosi vya usalama vya Somalia vimeangamiza magaidi 45 wa al-Shabaab, ikiwa ni pamoja na mkuu wa genge hilo aliyehusika na mashambulizi ya mara kwa mara ya mabomu mjini Mogadishu tangu 2023.
-
Waziri Mkuu wa zamani wa Chad aendelea kushikiliwa korokoroni
May 22, 2025 02:34Mahakama moja nchini Chad imeamuru kurejeshwa rumande na kuendelea kushikiliwa korokoroni, Waziri Mkuu wa zamani wa nchi hiyo, Succès Masra.
-
Kenya yakiri kuhusika na utekaji wa Kizza Besigye jijini Nairobi
May 21, 2025 22:52Kenya imekiri kwamba ilisaidia katika utekaji wa mwanasiasa wa upinzani wa Uganda katika ardhi yake mwaka uliopita.
-
Madaktari Wasio na Mipaka: Kiasi cha misaada kwa Gaza ni kichekesho
May 21, 2025 22:51Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) limetangaza katika taarifa yake jana (Jumatano) kwamba kiasi cha misaada ambayo utawala wa Israel umeruhusu kuhamishiwa Ukanda wa Gaza ni kichekesho.
-
Jeshi la Sudan latangaza kuukomboa kikamilifu mji wa Khartoum
May 21, 2025 06:39Jeshi la Sudan (SAF) limetangaza kuwa Jimbo la Khartoum limekombolewa kikamilifu na kwamba wapiganaji wote wa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) wamefukuzwa mjini humo. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Khartoum imekuwa bila ya wanamgambo wa RSF kwa mara ya kwanza baada ya zaidi ya miaka miwili.
-
AU yapongeza kuteuliwa Waziri Mkuu raia nchini Sudan
May 21, 2025 06:39Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC) Mahmoud Ali Youssouf amepoongeza kuteuliwa Kamil Idris kwa Waziri Mkuu mpya wa Sudan, na kusema kuwa hiyo ni hatua ya kuelekea kwenye utawala jumuishi katika nchi hiyo inayoendelea kuteseka kwa migogoro.
-
Muhoozi Kainerugaba: Ninamkubali Rais Samia Suluhu Hassan; 'Asante mama'
May 21, 2025 04:02Mkuu wa Majeshi ya Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba amemsifu Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuwa ni mmoja wa viongozi anaowafadhilisha zaidi wa Afrika aliowataja kuwa "wana maamuzi makubwa".
-
Utoshelevu wa chakula; Afrika yatakiwa iongeze bajeti kwenye kilimo
May 21, 2025 02:24Serikali za nchi za Afrika zimehimizwa kuongeza uwekezaji katika sekta ya kilimo ili kuimarisha usalama wa chakula na kufungua mustakbali wa maendeleo endelevu ya kiuchumi.