-
UN: Wakimbizi milioni 4 wametoroka vita Sudan
Jun 04, 2025 02:38Umoja wa Mataifa umesema zaidi ya watu milioni 4 wamekimbia vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan.
-
Tanzania: Jamii ya kimataifa idhibiti vyanzo vya migogoro duniani
Jun 04, 2025 02:30Tanzania imeiasa jamii ya kimataifa kuweka mikakati madhubuti ikiwemo kuwashirikisha wanawake katika masuala ya amani na usalama, ili kudhibiti migogoro ambayo vyanzo vyake vikuu ni ukabila, ubaguzi wa rangi, itikadi kali na migogoro kuhusu maliasili na mipaka.
-
Watu 200 wafariki dunia kwa janga la mafuriko Nigeria
Jun 04, 2025 02:21Mafuriko makubwa yaliyotokea kaskazini mwa Nigeria wiki iliyopita yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 200.
-
Serikali ya Sudan yalituhumu kundi la RSF kwa kulenga msafara wa misaada Darfur
Jun 03, 2025 23:22Serikali ya Sudan imetangaza kwamba "Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) vililenga msafara wa misaada wa Umoja wa Mataifa katika eneo la Al-Koma katika jimbo la Darfur Kaskazini."
-
Niger yazituhumu nchi za Magharibi kwa njama za kuvuruga utawala wake
Jun 03, 2025 23:16Rais wa mpito wa Niger, Jenerali Abdourahamane Tchiani, amezituhumu nchi za Magharibi, hasa Ufaransa, kwa kuchochea machafuko ya kigaidi nchini humo kama njia ya kujaribu kulazimisha “mfumo mpya wa utawala” kinyume na matakwa ya raia wa Niger.
-
HRW: Waasi wa M23 waliwaua raia mashariki mwa DRC mwezi Februari
Jun 03, 2025 23:02Shirika moja kimataifa la kutetea haki za binadamu, limeripoti kuwa waasi wa M23 waliwaua kwa makusudi raia wasiopungua 21 mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) mwezi Februari mwaka huu.
-
Wananchi wa Burundi kuwachagua wawakilishi wao wa Bunge Alkhamisi hii
Jun 03, 2025 08:12Wakati huu wakikabiliwa na hali mbaya ya kiuchumi, raia wa Burundi ingawa wamechoka lakini wanajiandaa kushiriki uchaguzi mkuu wa wabunge wa Juni 5 ambao umepoteza mvuto kwa kukosekana kwa washindani wa kweli.
-
Jeshi la Nigeria laua magaidi 20 kaskazini mwa nchi
Jun 03, 2025 03:33Takriban magaidi 20 wameuawa katika mashambulizi ya anga yaliyofanywa na jeshi la Nigeria katika jimbo la kaskazini la Zamfara mwishoni mwa juma.
-
Magaidi waua makumi ya askari wa Mali Timbuktu, Boulkessi
Jun 02, 2025 23:48Kundi la kigaidi lenye mafungamano na mtandao wa Al Qaeda katika eneo la Sahel, Magharibi mwa Afrika limedai kufanya mashambulizi kadhaa nchini Mali na kuua makumi ya wanajeshi.
-
Je, waziri mkuu mpya anaweza kuiokoa Sudan kutokana na mzozo mkubwa wa kisiasa na kiuchumi?
Jun 02, 2025 22:42Kamil Eltayeb Idris ameapishwa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Sudan mbele ya Abdel Fattah Al-Burhan, Mwenyekiti wa Baraza la Utawala na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Sudan.