-
Askari wa kulinda amani waliouawa DRC waongezeka na kufikia 13, mapigano yazidi kupamba moto
Jan 26, 2025 08:05Idadi ya askari wa kulinda amani waliouawa katika mapigano na waasi wa M23 mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC imefikia 13.
-
Jeshi la Sudan ladhibiti kikamilifu kiwanda kikubwa zaidi cha kusafisha mafuta nchini humo
Jan 26, 2025 03:24Jeshi la Sudan limeeleza kuwa limechukua udhibiti kamili wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha al Jaili karibu na mji mkuu wa nchi hiyo, Khartoum huku gavana mmoja wa nchi hiyo akiripoti kuuawa watu zaidi ya 70 katika shambulio la droni lililotekelezwa na wanamgambo wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) huko al Fasher magharibi mwa Sudan.
-
Nigeria yachunguza mripuko mwingine wa lori la mafuta ulioua 18
Jan 26, 2025 10:33Mamlaka za Nigeria zimeanzisha uchunguzi baada ya watu 18 kuthibitishwa kufariki dunia kwenye mripuko wa lori la mafuta ya petroli.
-
Mapigano yashadidi DRC huku waasi wa M23 wakisonga mbele kuelekea Goma
Jan 25, 2025 22:51Mapigano kati ya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kundi la waasi la M23 yanaripotiwa kushadidi huku waasi hao wakisonga mbele kuelekea Goma mashariki mwa nchi hiyo.
-
Mapigano Sudan yaharibu kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta
Jan 25, 2025 22:51Mapigano yanayoendelea karibu na kiwanda kikubwa zaidi cha kusafisha mafuta nchini Sudan yamesababisha moto mkubwa.
-
Jeshi la Sudan: Tumevunja mzingiro wa RSF Khartoum
Jan 25, 2025 08:05Jeshi la Sudan limetangaza habari ya kufanikiwa kuvunja 'mzingiro' uliowekwa na Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) dhidi ya Kamandi Kuu ya jeshi hilo katikati mwa Khartoum, mji mkuu wa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Sheikh Zakzaky awaenzi watoto wa Mashahidi wa Nigeria, Palestina
Jan 25, 2025 08:03Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria aliandaa dhifa ya chakula cha jioni Ijumaa usiku kwa ajili ya kuzienzi familia za wafuasi wake waliopoteza maisha katika harakati za kupigania haki nchini Nigeria na katika kadhia ya Palestina.
-
Gavana wa kijeshi wa Kivu Kaskazini DRC auawa katika mapambano na kundi la M23
Jan 25, 2025 03:08Gavana wa kijeshi katika Jimbo la Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC amefariki dunia kutokana na majeraha aliyopata wakati wa mapambano kati ya jeshi la serikali na waasi wa M23 huko Goma, makao makuu ya jimbo hilo.
-
Rais wa Comoro aazimia kumkabidhi mwanawe madaraka
Jan 24, 2025 23:27Rais wa Comoro, Azali Assoumani kwa mara ya kwanza amesema hadharani kuwa ana nia ya kukabidhi madaraka kwa mwanawe Nour El Fath atakapoondoka madarakani mwaka wa 2029; na kuthibitisha tetesi za wakosoaji wake kwamba amekuwa akimtayarisha kwa muda mrefu mwanawe kumrithi.
-
Chukwuka: BRICS itahuisha uchumi na kupunguza ushawishi wa Magharibi
Jan 24, 2025 23:26Kujiunga Nigeria na jumuiya ya BRICS kama nchi mshirika ni hatua kubwa kuelekea ufufuaji wa uchumi na kupunguza ushawishi wa Magharibi.