-
CDC: Mlipuko wa Mpox barani Afrika sio dharura tena ya kiafya
Jan 23, 2026 04:05Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa barani Afrika (CDC) ametangaza kuwa, mlipuko wa Mpox barani Afrika kwa sasa sio "dharura ya kiafya barani humo.
-
Ripoti: Zaidi ya raia 370 waliuawa Kivu, mwezi Desemba 2025
Jan 23, 2026 00:19Imeelezwa kuwa, zaidi ya raia 370 waliuawa Kivu mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo mwezi Disemba mwaka jana.
-
Save the Children: Sudan inapitia kipindi kirefu zaidi cha kufungwa shule duniani
Jan 22, 2026 23:52Shirika la Save the Children limeonya kwamba vita vinavyoendelea nchini Sudan vimewanyima elimu watoto zaidi ya milioni 8, katika kile kinachoelezwa kama kipindi kirefu zaidi cha kufungwa shule duniani.
-
Lavrov: Ufaransa na Ukraine zinasaidia makundi ya kigaidi barani Afrika
Jan 22, 2026 07:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergey Lavrov, amesema kuwa Ufaransa na Ukraine zinatoa msaada kwa makundi ya kigaidi na mitandao ya waasi barani Afrika, ikiwemo matawi ya magaidi ISIS au Daesh.
-
Mauritius yamwambia Trump: ‘Hakuna Mjadala’ kuhusu Chagos
Jan 22, 2026 07:01Umiliki wa Mauritius juu ya Visiwa vya Chagos hauna utata wowote na “haupaswi tena kuwa mada ya mjadala,” amesema Mwanasheria Mkuu wa taifa hilo la pwani ya Afrika Mashariki. Gavin Glover alitoa kauli hiyo akijibu matamshi ya Rais wa Marekani, Donald Trump, kuhusu uamuzi wa Uingereza kukabidhi tena udhibiti wa eneo hilo la Bahari ya Hindi kwa koloni lake la zamani.
-
Guinea‑Bissau yapanga uchaguzi wa urais na bunge Desemba 6
Jan 22, 2026 07:00Serikali ya mpito za Guinea‑Bissau zilitangaza Jumatano kwamba uchaguzi wa urais na ule wa wabunge utafanyika tarehe 6 Desemba mwaka huu, hatua inayoweka ratiba rasmi ya kwanza ya uchaguzi tangu mapinduzi ya kijeshi ya Novemba 2025. Tangazo hilo linachunguzwa kwa karibu na Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS), ambayo imekuwa ikisisitiza kipindi kifupi na jumuishi cha mpito.
-
Wanajeshi 8 wa Nigeria wauawa katika shambulio la Boko Haram Borno
Jan 22, 2026 02:32Wanajeshi wanane wa Nigeria wameuawa huku wengine 50 wakijeruhiwa baada ya wapiganaji wa genge la kigaidi la Boko Haram kushambulia kambi ya kijeshi katika jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa nchi.
-
Mafuriko mabaya zaidi yaikumba Msumbiji na kusababisha maafa
Jan 21, 2026 23:38Watu wasiopunguwa 114 wamefariki dunia na uharibifu mkubwa wa mali umeripotiwa nchini Msumbiji huku baadhi ya vijiji vikifunikwa kabisa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa nchini humo.
-
Jeshi la Nigeria lawakomboa mateka 62 na kuwaua wanamgambo 2 kaskazini magharibi mwa nchi
Jan 21, 2026 23:38Jeshi la Nigeria limeripoti kuwa wanajeshi watano na afisa mmoja wa polisi wameuawa katika shambulizi la kuvizia kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.
-
Kizza Besigye kiongozi mkongwe wa upinzani Uganda yuko mahututi
Jan 21, 2026 23:37Imeelezwa kuwa, hali ya kiafya ya Daktari Kizza Besigye, kiongozi mkongwe wa upinzani nchini Uganda imezidi kuwa mbaya.