-
Seneti ya Kenya yapinga pendekezo la kuongezwa muhula wa Rais
Nov 02, 2024 05:50Kamati ya Seneti ya Kenya kuhusu Haki na Masuala ya Sheria inayoongozwa na Seneta wa Bomet, Hillary Sigei, imeitaka Seneti isipitishe muswada unaopendekeza kuongezwa muhula wa Rais na viongozi waliochaguliwa.
-
Algeria yaadhimisha miaka 70 tangu yalipoanza Mapinduzi ya kuutokomeza ukoloni wa Ufaransa
Nov 02, 2024 03:37Algeria jana iliadhimisha mwaka wa 70 wa kuanza Mapinduzi ya ukombozi wa nchi hiyo dhidi ya mkoloni Ufaransa kwa gwaride la kijeshi lililofanyika katika mji mkuu Algiers.
-
Mauritius yazuia upatikanaji huduma za mitandao ya kijamii
Nov 01, 2024 23:26Mauritius imezuia huduma za mitandao ya kijamii, siku chache tu kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu.
-
Chama tawala Botswana chabwagwa baada ya kuongoza kwa karibu miongo 6
Nov 01, 2024 06:44Chama tawala cha Botswana Democratic Party (BDP) ambacho kimeiongoza nchi hiyo kwa miaka 58, kimebwagwa vibaya katika uchaguzi wa Bunge uliofanyika Jumatano ya juzi Oktoba 30.
-
Kenya yapata Naibu Rais mpya; Profesa Kithure Kindiki
Nov 01, 2024 06:28Hatimaye Profesa Abraham Kithure Kindiki ameapishwa kuwa Naibu Rais mpya wa Kenya, kuja kurithi mikoba ya Rigathi Gachagua ambaye alibanduliwa mamlakani na Bunge la nchi hiyo mwezi uliopita wa Oktoba.
-
Wabeba silaha waua wanakijiji 15 katika jimbo la Benue, Nigeria
Nov 01, 2024 06:09Kwa akali watu 15 wameuawa katika shambulizi la 'majambazi' waliojizatiti kwa silaha katika jimbo la Benue katikati mwa Nigeria.
-
Safaricom yajitetea, yasema haitoi data za wateja kwa maafisa usalama
Nov 01, 2024 03:39Kampuni ya mawasiliano ya Safaricom nchini Kenya hatimaye imekiri hutumia programu ya kampuni ya Neutral Technologies inayodaiwa kutumiwa na kampuni za mawasiliano kutoa data za kibinafsi ili kusaidia polisi kuendeleza utekaji nyara.
-
Takriban watu 321 wameshafariki dunia katika mafuriko nchini Nigeria
Nov 01, 2024 03:38Takriban watu 321 wamepoteza maisha na wengine zaidi ya 740,000 wamelazimika kuhama makazi yao nchini Nigeria tangu mwanzoni mwa mwaka huu hadi hivi sasa kutokana na mafuriko yaliyokumba maeneo mengi ya nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Mahakama Ghana yabatilisha uamuzi wa kusitisha shughuli za Bunge
Oct 31, 2024 22:57Mahakama ya juu nchini Ghana imebatilisha uamuzi ambao ulikuwa umepelekea kusitishwa shughuli za bunge miezi michache kabla ya uchaguzi.
-
Daktari wa Rwanda jela miaka 27 kwa mauaji ya kimbari
Oct 31, 2024 22:50Eugène Rwamucyo, daktari wa zamani wa Rwanda, amehukumiwa kifungo cha miaka 27 jela kwa kupatikana na hatia katika kesi ya mauaji ya kimbari ya Rwanda.