-
Afrika kupatiwa zaidi ya dola Mil.800 kukabiliana na Mpox
Sep 27, 2024 22:48Imeelezwa kuwa, bara la Afrika litapatiwa zaidi ya dola milioni 800 kwa ajili ya kukabiliana na homa hatari ya Mpox.
-
Benin yazuia njama ya mapinduzi, kamanda mkuu wa jeshi akamatwa
Sep 27, 2024 10:30Waendesha mashtaka wa Benin wametangaza kuwa watu watatu mashuhuri, akiwemo kamanda wa kikosi cha ulinzi wa rais, wamekamatwa kwa tuhuma za kupanga njama ya "mapinduzi" katika taifa hilo dogo la Afrika Magharibi.
-
Mkuu wa RSF: Tuko tayari kusitisha vita kuruhusu misaada ya kibinadamu
Sep 27, 2024 10:08Jenerali Mohamed Hamdan Dagalo mkuu wa kikosi cha RSF nchini Sudan, amesema kuwa, kundi hilo liko tayari kutekeleza mpango wa usitishaji vita kote nchini humo ili kuruhusu usambazaji wa misaada ya kibinadamu.
-
Wanaorejea Omdurman Sudan waendelea kusakamwa na makombora, njaa na magonjwa
Sep 27, 2024 03:17Maeneo ya Karari katika mji wa Omdurman wa kaskazini mwa mji mkuu wa Sudan, Khartoum, yamekumbwa na msukosuko mwingine wa mapigano ya uchu wa madaraka baina ya majenerali wa kijeshi wanaoongoza makundi mawili, Vikosi vya wa Msaada wa Haraka (RSF) na Vikosi vya Wanajeshi wa Sudan (SAF).
-
Ajali mbaya ya barabarani yaua na kujeruhi watu 37 kusini mwa Ethiopia
Sep 27, 2024 03:17Watu 28 wamepoteza maisha na wengine 19 kujeruhiwa katika ajali mbaya ya barabarani iliyotokea kusini mwa Ethiopia.
-
Seneta wa Nigeria: Jinai za Israel Gaza, Lebanon zinaonyesha UN haina maana
Sep 26, 2024 23:35Mwanasiasa wa ngazi ya juu wa Nigeria amesema kuwa, mauaji ya kimbari ya Israel dhidi ya raia wa Palestina katika Ukanda wa Gaza na huko Beirut, mji mkuu wa Lebanon yameonyesha kushindwa kwa dunia kushughulikia suala la Palestina, na pia imeonyesha namna Umoja wa Mataifa ulivyo butu kwa kushindwa kukomesha ukatili na unyama wa Israel.
-
Mali, Burkina Faso, Niger zamchunguza mwanahabari wa France 24
Sep 26, 2024 23:34Waendesha mashtaka katika nchi zinazoongozwa na serikali za kijeshi za Mali, Burkina Faso na Niger wameanzisha uchunguzi dhidi ya mwandishi wa habari wa Ufaransa Wassim Nasr, wakimtuhumu kuwa "mshirika wa ugaidi" kutokana na uchambuzi wake juu ya mashambulizi ya magenge ya kigaidi.
-
Jeshi la Sudan lafanya mashambulizi ili kudhibiti mji wa Khartoum
Sep 26, 2024 08:11Jeshi la Sudan leo Alhamisi limefanya mashambulizi ya anga na ya mizinga katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum katika operesheni iliyotajwa kuwa kubwa zaidi ya kudhibiti mji huo mkuu tangu kuanza vita kati yake na Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) miezi 17 iliyopita.
-
Rais wa Kongo ataka Rwanda iwekewe vikwazo kwa hatua yake ya kuwaunga mkono waasi wa M23
Sep 26, 2024 07:58Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ameitaka jamii ya kimataifa kuiwekea Rwanda vikwazo kwa tuhuma za kuliunga mkono kundi la waasi la M23.
-
Wabunge Kenya wasema wanakusanya saini za hoja ya kumuondoa madarakani Naibu Rais, Gachagua
Sep 26, 2024 07:01Wabunge wa Bunge la Kenya wamesema wamenza mchakato wa kukusanya saini za hoja ya kumuondoa madarakani Naibu Rais wa nchi hiyo, Bwana Rigathi Gachagua.