-
Marekani 'yaziwekea ngumu' nchi zingine 12 za Afrika kupata viza ya kuingia nchini humo
Jan 07, 2026 23:36Serikali ya Marekani imeongeza karibu mara tatu idadi ya nchi ambazo wamiliki wa pasipoti zao watahitajika kuweka dhamana ya hadi dola 15,000 ili kuomba kuingia nchini humo.
-
Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel huko Somaliland; Tel Aviv katika njia ya kuyumbisha amani Pembe ya Afrika
Jan 07, 2026 23:32Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel amefanya safari huko Hargeisa, mji mkuu wa eneo la Somaliland, akiongoza ujumbe rasmi wa Israel.
-
Mvua, mafuriko yaua na kujeruhi makumi ya watu Madagascar
Jan 07, 2026 06:46Wau wasiopungua 11 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na athari za mvua kubwa ambazo zimekuwa zikinyesha nchini Madagacar kwa wiki kadhaa sasa.
-
Afrika yasisitiza mshikamano na Venezuela baada ya uvamizi wa Marekani kumteka nyara Maduro
Jan 07, 2026 04:34Nchi za Kiafrika zimesisitiza mshikamano wao na Venezuela kufuatia uvamizi uliofanywa na Marekani nchinii humo na kumteka nyara Rais Nicolas Maduro.
-
Jeshi la Benin lauwa magaidi 45 kaskazini mwa nchi
Jan 07, 2026 04:14Jeshi la Benin limetangaza kuwa limeuwa magaidi 45 katika muda wa miezi mitatu ya oparesheni dhidi ya ugaidi kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Somalia yalaani ziara ya waziri wa mambo ya nje wa Israel huko Somaliland
Jan 06, 2026 23:27Serikali ya Somalia Jumanne imelaani ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel, Gideon Saar, katika Somaliland, ikieleza kuwa ni “uvunjaji wa mamlaka usioidhinishwa” na ikaitaka Tel Aviv kusitisha mara moja hatua zote zinazodhoofisha uhuru na umoja wa ardhi ya Somalia.
-
Hatari za kisiasa na kiusalama za hatua ya utawala wa Israel ya kutambua rasmi Somaliland
Jan 06, 2026 07:04Kufuatia hatua ya utawala wa Israel ya kulitambua rasmi eneo la Somaliland huko Somalia kama nchi huru, kumetolewa maonyo kuhusu matokeo hatari ya kisiasa na kiusalama ya kitendo hicho.
-
Touadera ashinda muhula wa 3 wa urais Jamhuri ya Afrika ya Kati
Jan 06, 2026 02:59Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Faustin-Archange Touadera ameshinda muhula wa tatu urais, kwa mujibu wa matokeo ya awali ya uchaguzi wa karibuni, yaliyotangazwa Jumatatu na Mamlaka ya Kitaifa ya Uchaguzi.
-
Amnesty International: Serikali ya Uganda inatumia mbinu za mateso kuwatishia wapinzani
Jan 06, 2026 00:05Shirika la kimataifa la haki za binadamu, Amnesty International, limetangaza kuwa, vikosi vya usalama nchini Uganda vinatumia njia za mateso na ukamataji usio wa kisheria kuwatisha wapinzani kuelekea uchaguzi mkuu katikati ya mwezi huu wa Januari.
-
Rais mteule wa Guinea: Kipaumbele changu ni kuleta umoja, utulivu na maendeleo
Jan 05, 2026 23:47Rais mteule wa Jamhuri ya Guinea, Mamady Doumbouya, ameahidi kufanyia kazi sana suala la kuleta umoja na mshikamano, utawala wa sheria na ustawi wa wananchi wote, katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi.