-
Wamisri wataka kufunguliwa tena kivuko cha mpakani na Ukanda wa Gaza
Oct 19, 2025 23:02Huku msaada wa kibinadamu unaohitajika ukisalia kuwa haba huko Gaza, waanchi wa Misri wametaka kufunguliwa tena kivuko cha mpakani cha Rafah kwa ajili ya kuingiza misaada neo la Ukanda wa Gaza.
-
Burhan: Jeshi la Sudan liko tayari kwa mazungumzo ili kurejesha umoja
Oct 19, 2025 07:53Jenerali Abdel-Fattah al Burhan, Mkuu wa Baraza la Utawala wa Sudan amesema jeshi la nchi hiyo liko tayari kwa mazungumzo ya "kumaliza vita na kurejesha umoja na heshima ya nchi hiyo."
-
Chama tawala Zimbabwe chachukua hatua ya kurefusha muhula wa Rais Mnangagwa
Oct 19, 2025 07:48Chama tawala nchini Zimbabwe cha ZANU-PF kimesema kitaanzisha taratibu za kurefusha muhula wa Rais Emmerson Mnangagwa kwa miaka miwili zaidi, na hivyo kumfanya aendelee kukaa madarakani hadi 2030.
-
Libya yafanya uchaguzi wa mitaa ulioakhirishwa tangu Agosti
Oct 19, 2025 03:05Tume Kuu ya Uchaguzi ya Libya (HNEC) imetangaza kuanza kwa uchaguzi wa serikali za mitaa katika manispaa 16 nchini kote. Uchaguzi huo ulipaswa kufanyika mwezi Agosti.
-
Mwanasiasa mkongwe wa Kenya Raila Odinga kuzikwa leo
Oct 19, 2025 00:31Mwanasiasa mkongwe na mashuhuri barani Afrika Raila Odinga atazikwa leo nyumbani kwake Bondo.
-
WHO: Hakuna mgonjwa mpya wa Ebola aliyerekodiwa Bulape DRC kwa siku 20
Oct 18, 2025 09:54Ofisi ya Kanda ya Afrika ya Shirika la Afya Duniani (WHO) imetangaza kuwa, hakuna mgonjwa mpya wa Ebola aliyerekodiwa au kuthibitishwa kwa siku 20 katika kanda ya afya ya Bulape, iliyoloko katika mkoa wa Kasai katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ambako ugonjwa huo umekuwa ukiendelea kwa zaidi ya mwezi mmoja.
-
Kiongozi mkuu wa upinzani Guinea Bissau atupwa nje katika orodha ya mwisho ya uchaguzi
Oct 18, 2025 04:13Muungano mkuu wa upinzani nchini Guinea-Bissau na chama cha kihistoria cha PAIGC kilichoko ndani ya muungano huo havitashiriki kwenye uchaguzi wa uchaguzi wa rais na bunge wa mwezi Novemba mwaka huu.
-
Umoja wa Mataifa walaani jeshi kuchukua madaraka nchini Madagascar
Oct 18, 2025 01:04Umoja wa Mataifa umelaani vikali hatua ya jeshi la Madagascar kuchukua hatamu za uongozi wa nchi hiyo baada ya maandamano yaliyokuwa yakiishinikiza serikali ya Rais aliyeondolewa madarakani Andry Rajoelina.
-
Viongozi wa nchi za kigeni waanza kuwasili Nairobi kwa mazishi ya Raila Odinga
Oct 17, 2025 08:29Matayarishao ya maziko ya mwanasiasa mashuhuri wa Kenya Raila Odinga, aliyefariki dunia juzi Jumatano akiwa na umri wa miaka 80 alipokuwa anatibiwa nchini India, yanaendelea na tayari viongozi wa nchi za kigeni wameanza kuwasili mjini Nairobi kushiriki kwenye maziko hayo yanayotarajiwa kufanyika kashokutwa Jumapili jimboni kwake Bondo.
-
Kanali Randrianirina aapishwa kuwa rais mpya wa Madagacar, SADC yaunda timu
Oct 17, 2025 08:29Kanali wa kijeshi, Michael Randrianirina, ameapishwa leo Ijumaa kuwa rais wa Madagascar katika mji mkuu, Antananarivo huku umuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) ikimteua Rais wa zamani wa Malawi Joyce Banda kuongoza ujumbe wa kutafuta ukweli nchini Madagascar kufuatia matukio ya hivi karibuni ya kisiasa na kiusalama nchini humo.