-
Iran yateuliwa Makamu wa Rais wa OPCW licha ya upinzani wa Marekani
Mar 07, 2025 07:16Iran imechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Baraza la Utendaji la Shirika la Kuzuia Silaha za Kemikali (OPCW) licha ya Marekani kufanya juu chini kuzuia Jamhuri ya Kiislamu kuteuliwa kwenye nafasi hiyo.
-
Iran: Baraza la Qur'ani la Ulimwengu wa Kiislamu litasahilisha uhusiano na ushirikiano baina ya Waislamu
Mar 07, 2025 04:24Mkuu wa Shirika la Utamaduni na Mawasiliano ya Kiislamu la Iran amesema: "kuundwa Baraza la Qur'ani la Ulimwengu wa Kiislamu kunaweza kusahilisha ujengaji wa uhusiano na kubadilishana tajiriba kwa ajili ya ushirikiano kati ya Waislamu."
-
Iran: Kufurushwa Wapalestina Gaza ni muendelezo wa mauaji ya kimbari
Mar 06, 2025 23:03Iran imesema kuwa, mpango wa kuwahamisha kwa nguvu Wapalestina wa Gaza na kuwapeleka katika nchi jirani ni kuendeleza mauaji ya kimbari kwa kutumia zana za kisiasa.
-
Onyo la Iran kwa Troika ya Ulaya kwa kukiuka Azimio la Umoja wa Mataifa na JCPOA
Mar 06, 2025 23:01Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa na Mashirika ya Kimataifa yaliyoko mjini Vienna, ametoa indhari kwa Troika ya Ulaya kuhusiana na ukiukaji wake wa Azimio la Umoja wa Mataifa na la Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA.
-
Mjumbe wa Iran IAEA: Kampeni ya mashinikizo ya Magharibi dhidi ya Iran haina tija
Mar 06, 2025 02:17Balozi na Mwakilishi wa Iran katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) ameonya kuwa, mkakati wa Magharibi wa kutoa mashinikizo kwa Tehran na kuilazimisha kutekeleza kwa upande mmoja majukumu ya kinyuklia "sio tu kwamba haufanyi kazi bali pia hauna tija" .
-
Maonyesho ya Qur'ani ni mahali pa kujifunza juu ya muujiza wa Neno la Mungu
Mar 06, 2025 01:28Waziri wa Utamaduni na Miongozo ya Kiislamu wa Iran amesema: "Maonyesho ya Qur'ani yanapaswa kutufahamisha kuhusu miujiza ya Wahyi na kutukurubisha kwenye muujiza wa kimaarifa na wa batini wa Qur'ani."
-
Imam Khamenei: Harakati ya Kitaifa ya Upandaji Miti iendelee
Mar 05, 2025 06:59Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatollah Ali Khamenei, leo asubuhi (Jumatano), katika Wiki ya Rasilimali Asili na Siku ya Upandaji Miti, amepanda miche mitatu ya miti.
-
Kiwanda cha nyuklia cha Iran chazalisha umeme wenye thamani ya dola bilioni 8
Mar 05, 2025 06:41Kiwanda pekee cha nyuklia cha Iran kimezalisha umeme wenye thamani ya takriban dola bilioni 8.2 tangu kilipoanza kufanya kazi zaidi ya miaka 11 iliyopita.
-
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Vikwazo vya kikatili vya Marekani na Umoja wa Ulaya dhidi ya Iran lazima vifutwe
Mar 05, 2025 03:08Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayeshughulikia Masuala ya Kisiasa amesema: Vikwazo vya kikatili vya Marekani na Umoja wa Ulaya ambavyo vimewalenga watu wenye utamaduni na ustaarabu mkongwe wa Iran ni lazima viondolewe.
-
Iran: Hatutaki vita, lakini tutajihami kwa nguvu zote
Mar 05, 2025 00:44Kamanda Mkuu wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa: Hatufurahishwi na vita na machafuko na wala hatupendi, lakini iwapo adui ataanzisha vita dhidi yetu basi bila ya shaka tutailinda Iran kwa nguvu zetu zote na kutoa jibu kali kwa maadui.