-
Pezeshkian: Iran inaunga mkono amani na kuondolewa mivutano katika eneo na duniani
Jan 15, 2025 04:29Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mahojiano na televisheni ya NBC ya Marekani kwamba Iran inataka amani na kuondolewa mivutano katika kanda hii na duniani kwa ujumla.
-
Iran na nchi tatu za Ulaya zakubaliana kuanzisha mazungumzo ya kuondoa vikwazo
Jan 14, 2025 05:48Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusiaka na Masuala ya Kisheria ametangaza habari ya kufikiwa makubaliano bainaya Iran na nchi tatu za Ulaya kwa ajili ya kuanzisha mazungumzo ya kuondoa vikwazo.
-
Iran leo inaadhimisha kuzaliwa Imam Ali (as) na Siku ya Baba
Jan 14, 2025 04:18Iran, leo tarehe 13 mwezi Rajab, inaadhimisha Siku ya Baba katika sherehe zinazofungamanishwa na kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa Amirul Muuminina, Imam Ali bin Abi Twalib (as).
-
Baqaei: Utawala wa Kizayuni hauna mipaka katika tamaa zake
Jan 13, 2025 23:47Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa, utawala haramu wa Israel unaotenda jinai za kutisha huko Gaza hauna mpaka wala mwisho katika taamaa zake za kujitanua.
-
Sisitizo la Iran la ulazima wa kukomeshwa uchocheaji vita wa Marekani na washirika wake katika eneo na Yemen
Jan 13, 2025 22:57Waziri wa Mashauri ya Kigeni na Mshauri Mkuu wa Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wamesisitiza ulazima wa kusitishwa uchochezi wa vita wa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo na nchini Yemen.
-
Meja Jenerali Mousavi: Maneva yanayoendelea yanaonyesha utayarifu wa jeshi la Iran
Jan 13, 2025 08:10Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran amesema kuwa, maneva ya kijeshi yanayoendelea kufanywa na jeshi la Iran yadhihirisha kuwa tayari vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Iran: Tuna silaha ambazo adui kamwe hawezi kuzitasawari
Jan 13, 2025 03:13Kamanda mmoja wa ngazi za juu wa Jeshi la Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ina silaha ambazo hazijafichuliwa hadi sasa na wala adui hana taarifa zozote kuhusu silaha hizo.
-
Iran kufanya mazungumzo ya kufufua mapatano ya nyuklia na Troika ya Ulaya kesho
Jan 12, 2025 09:27Mji wa Geneva Uswisi kesho Jumatatu unatarajiwa mwenyeji wa mazungumzo ya nyuklia ya Iran na mataifa matatu ya Ulaya ya Uingereza, Ufaransa na Ujerumani.
-
Baqaei: Iran inataka kuimarisha uhusiano na Venezuela
Jan 12, 2025 04:32Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amemtakia mafanikio Rais Nicolas Maduro wa Venezuela na kusisitiza kuwa Iran ina hamu ya kushirikiana na serikali iliyochaguliwa na wananchi ya Venezuela kwa manufaa ya mataifa mawili ili kuimarisha uhusiano mkubwa kati ya pande mbili.
-
Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran laanza maneva ya ulinzi wa anga ya 1403
Jan 12, 2025 04:31Maneva ya ulinzi wa anga ya 1403 la Jeshi la Iran yameanza leo asubuhi katika maeneo ya ulinzi wa anga ya magharibi na kaskazini mwa Iran.