-
Waziri Owji: US haina ubavu wa kuzuia uuzaji wa mafuta ya Iran nje ya nchi
Jun 19, 2024 08:02Waziri wa Mafuta wa Iran amesema kuwa, hakuna serikali yoyote ya Marekani yenye uwezo na ujasiri wa kuzuia uuzaji wa mafuta ya Jamhuri ya Kiislamu nje ya nchi.
-
Jibu la Iran kwa taarifa ya nchi tatu za Ulaya; ni tupu, haina itibari na ni kinyume na ukweli
Jun 19, 2024 04:16Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani taarifa ya pamoja ya nchi tatu za Ulaya za Ujerumani, Uingereza na Ufaransa kuhusiana na mpango wa nyuklia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ikisema kuwa ni tupu, haina itibari na ina madai yaliyo kinyume na ukweli.
-
Ahmad Vahidi: Uchaguzii ujao wa Rais wa Iran utafanyika kwa amani na usalama kamili
Jun 18, 2024 23:52Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uchaguzi ujao wa Rais hapa nchini utafanyika katika mazingira salama na ya amani kamili.
-
Iran: Tunaichukulia Hija kuwa ni nembo na dhihirisho la umoja na mshikamano
Jun 18, 2024 07:21Balozi wa Iran nchini Saudi Arabia amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu inaichukulia ibada ya Hija kuwa ni kielelezo na mhimili wa umoja na mshikamano katika safu za Waislamu na ni fursa adhimu ya kujikurubisha kwa Mwenyezi Mungu na kufikiria kwa pamoja njia za kutatua masuala ya Waislamu.
-
Wagombea wa urais Iran wabainisha mipango yao kwenye mdahalo wa kwanza
Jun 17, 2024 23:56Mdahalo wa kwanza wa wagombea urais nchini Iran ulifanyika jana usiku kupitia televisheni ya taifa, na kuendelea kwa muda wa karibu saa nne.
-
Ali Akbari: Ushiriki mkubwa zaidi katika uchaguzi huongeza mshikamano na nguvu ya taifa
Jun 17, 2024 09:23Khatibu wa Sala ya Eidul Adh'ha mjini Tehran amesema kuwa, ushiriki mkubwa zaidi katika uchaguzi kutaongeza mshikamano na nguvu ya itaifa
-
Wanaojifanya kutetea haki za binadamu, wanashiriki kwenye mauaji ya watoto Ghaza
Jun 17, 2024 07:22Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, wale wanaojigamba kuwa ni viranja wa kutetea haki za binadamu, wanashiriki katika mauaji ya umati dhidi ya watoto wadogo yanayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza.
-
Mokhber: Nchi za Waislamu ziungane kuzima jinai za Israel Gaza
Jun 17, 2024 04:16Kaimu Rais wa Iran ametaka kuwepo umoja na mshikamano miongoni mwa nchi za Waislamu ili kukomesha jinai na mauaji ya kimbari yanayoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Iran: Taarifa iliyotolewa na Troika ya Ulaya haina itibari
Jun 17, 2024 02:29Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imekosoa vikali taarifa ya pamoja ya nchi tatu za Ufaransa, Ujerumani na Uingereza (Troika ya Ulaya) kuhusu mradi wa nyuklia wa Jamhuri ya Kiislamu wenye malengo ya amani na kusisitiza kuwa, taarifa hiyo imetolewa kwa kutegemea tuhuma bandia na zisizo na msingi.
-
Kaimu Rais wa Iran awapongeza Waislamu kwa mnasaba wa Idul Adh'ha
Jun 16, 2024 23:25Kaimu Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyatumia ujumbe mataifa ya Kiislamu akiyapongeza kwa mnasaba wa kuadhimisha sikukuu ya Idul Adh'ha.