-
Kan'ani: Udhaifu wa taasisi za kimataifa umeipa kiburi Israel cha kuvunja asilimia 55 ya majengo ya Ghaza
Jun 04, 2024 23:45Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, asilimia 55 ya majengo ya Ukanda wa Ghaza yamevunjwa na utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na udhaifu wa taasisi za kimataifa.
-
Bagheri Kani: Iran na Syria nguzo kuu za amani na uthabiti Asia Magharibi
Jun 04, 2024 23:45Kaimu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran na Syria ni nguzo kuu za amani na uthabiti Asia Magharibi.
-
Eslami: Shughuli za nyuklia za Iran zinafanyika kwa mujibu wa sheria
Jun 04, 2024 08:19Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amesema: Shughuli za nyuklia za Iran zinafanayika ndani ya fremu ya sheria ya kimkakati ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislami (Bunge la Iran) kwa lengo la kuondoa vikwazo.
-
Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran afanya mazungumzo na Sayyid Hassan Nasrallah
Jun 04, 2024 04:25Kaimu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amekutana na kuzungumza na Katibu Mkuu wa Hizbullah nchini Lebanon.
-
Usajili wa wanaotaka kugombea urais Iran wamalizika, kampeni kuanza Juni 12
Jun 03, 2024 08:00Shughuli ya kujiandikisha viongozi wanaotaka kugombea uchaguzi wa mapema wa duru ya 14 ya urais wa Jamhuri ya Kiislamu inamalizika jioni ya leo Juni 3.
-
Tukio la kumpoteza Rais wa Nchi ni miongoni mwa masuala muhimu katika historia ya Mapinduzi ya Kiislamu
Jun 03, 2024 07:27Akizungumza leo Jumatatu katika maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 35 tangu aage dunia Imam Khomeini (MA), mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema tukio chungu la kumpoteza rais wa nchi na taathira zake ni tukio muhimu zaidi nchini Iran katika mwaka mmoja uliopita.
-
Kiongozi Muadhamu: Wazayuni hawatasalimika na athari za operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqswa
Jun 03, 2024 04:36Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqswa" ilitoa pigo kubwa kwa utawala wa Kizayuni wa Israel na utawala huo ulipata madhara na majeraha ambayo kamwe hayatapona.
-
Leo ni kumbukumbu ya miaka 35 tangu kuaga dunia Imam Khomeini
Jun 02, 2024 23:57Wananchi wa Iran leo wanafanya kumbukumbu ya miaka 35 tangu kuaga dunia Imam Ruhullah Khomeini, muasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Mikakati athirifu ya Iran ya kutatua migogoro ya kikanda na Palestina
Jun 02, 2024 23:30Katika miaka ya hivi karibuni, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa na mikakati madhubuti na athirifu katika matukio ya kieneo na kimataifa ikiwemo kadhia ya Palestina.
-
'Fikra za Imam Khomeini bado zinahamasisha harakati za ukombozi duniani'
Jun 02, 2024 23:25Kamandi Kuu ya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema itikadi za hayati Imam Khomeini, Muasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, bado zinatia msukumo harakati za ukombozi kote duniani.