-
Makombora ya kisasa ya Iran ambayo Israel inayaogopa
Apr 13, 2024 02:39Klipu hii ina maelezo ya makombora tisa ya kisasa kabisa ya Iran yenye usahihi wa hali ya juu ambayo yameuingiza woga utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kuendelea kuimarika uhusiano wa kiuchumi wa Iran na nchi za Kiislamu
Apr 12, 2024 22:41Mkuu wa Forodha wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza kuwa, biashara kati ya Iran na nchi 56 wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) mwaka 1402 Hijria Shamsiya iliongezeka kwa asilimia 19 na kufikia dola bilioni 61.
-
Imamu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Utawala wa Kizayuni unakaribia kutoweka
Apr 12, 2024 10:12Imamu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amelaani mauaji na jinaii zinazoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza na kusema: Utawala huo unaelekea kuporomoka.
-
Raisi: Madola ya kibeberu yanazusha fitna ili kuvuruga usalama kati ya Iran na Pakistan
Apr 12, 2024 07:48Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kustawishwa uhusiano wa Iran na Pakistan hakufurahishi madola ya kibeberu na kwa hivyo yanazusha fitna ili kuleta mpasuko kati ya mataifa hayo mawili na nchi hizo mbili za Kiislamu.
-
Mwakilishi wa Iran UN asisitiza ulazima wa kuuadhibu utawala vamizi wa Israel
Apr 12, 2024 04:10Ofisi ya Mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa imesema Baraza la Usalama lilipaswa kulaani mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya maeneo ya kidiplomasia ya Iran huko Damascus, mji mkuu wa Syria.
-
Amir Abdollahian: Kujilinda kwa lengo la kumuadhibu mchokozi ni jambo la lazima
Apr 11, 2024 23:57Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhuri ya Kislamu ya Iran amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unapokiuka kikamilifu kinga ya watu binafsi na maeneo ya kidiplomasia kwa kukanyaga sheria za kimataifa na Mikataba ya Vienna, inakuwa lazima kujihami kwa lengo la kumuadhibu mchokozi.
-
Rais wa Iran atuma rambirambi kwa Ismail Haniyeh baada ya Israel kuua shahidi watoto na wajukuu wake
Apr 11, 2024 09:47Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani mauaji yaliyofanywa na jeshi la utawala katili wa Israel dhidi ya wanafamilia wa Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) katika Ukanda wa Gaza.
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Imarati, Uturuki wajadiliana matukio ya Ghaza
Apr 11, 2024 06:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mazungumzo yake ya simu na mawaziri wenzake wa Muungano wa Falme za Kiarabu (Imarati) na Uturuki kwamba kuna udharura wa kukomeshwa haraka jinai za utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Ghaza.
-
Haki halali na ya kisheria ya Iran kujibu jinai za Wazayuni
Apr 11, 2024 04:57Wawakilishi wa nchi 121 wanachama wa Harakati ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote NAM mjini New York wametoa taarifa wakilaani hujuma ya kigaidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya maeneo ya kidiplomasia na wawakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Damascus Syria, na kutangaza mshikamano wao na wananchi, serikali ya Iran na familia za wahanga wa shambulio hilo.
-
Amir-Abdollahian: Israel imeongeza kasi ya kuporomoka kwake kwa kuwaua watoto na wajukuu wa kiongozi wa HAMAS
Apr 11, 2024 04:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amesema mauaji ya hivi karibuni yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wanafamilia wa kiongozi wa Hamas yanaongeza kasi ya kuporomoka kusio na shaka kwa utawala huo.