-
Kubainishwa misimamo ya Iran kuhusu haki za binadamu katika Mkutano wa Geneva
Feb 27, 2024 05:36Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewasilisha misimamo na mitazamo ya Iran kuhusu haki za binadamu katika mkutano wa 55 wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa mjini Geneva Uswisi.
-
Iran yaionya UN: Marekani inashadidisha taharuki katika eneo
Feb 27, 2024 03:59Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali juhudi za Marekani za kushadidisha hali ya taharuki katika Bahari Nyekundu na Yemen na kuonya kuwa, hatua hizo za kijeshi za Washington hazitakuwa na matokeo mengine isipokuwa kuvuruga jitihada za pamoja za Iran na Umoja wa Mataifa katika eneo la Asia Magharibi.
-
Amir-Abdollahian: Kuendelea vita Gazah kutazidi kuzorotesha hali ya kibinadamu
Feb 26, 2024 23:04Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel utazidisha hali mbaya ya kibinadamu katika eneo hilo kwa kuendeleza vita katika Ukanda wa Gazah.
-
Waziri Kiongozi wa Scotland: Uingereza inapaswa kusimamisha mauzo ya silaha kwa Israel
Feb 26, 2024 03:22Waziri Kiongozi wa Scotland Humza Yousaf ameitaka Serikali ya Uingereza kusitisha uuzaji wa silaha kwa utawala wa Israel kutokana na utawala huo wa Kizayuni kuendeleza mauaji ya kimbari ya raia Wapalestina katika Ukanda Gaza.
-
Umuhimu wa kushiriki katika uchaguzi mkuu kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 25, 2024 23:34Ayatullah Khamenei, Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni miongoni mwa shakhsia mashuhuri ambao daima wanasisitiza juu ya ushiriki mkubwa wa wananchi katika chaguzi tofauti zinazofanyika nchini.
-
Kan'ani: Marekani na Uingereza zinatoa kafara usalama wa kimataifa kwa maslahi ya Israel
Feb 25, 2024 23:32Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran amelaani vikali mashambulizi mapya ya anga ya "kiholela" yaliyofanywa na Marekani na Uingereza dhidi ya Yemen, akisema hujuma hiyo imethibitisha kwa mara nyingine kwamba nchi hizo mbili zinatoa kafara usalama wa kimataifa kwa maslahi ya Israel.
-
Kiongozi wa kundi la kigaidi la Jaish al Dhulm aangamizwa katika hujuma ya askari usalama wa Iran
Feb 25, 2024 23:01Kiongozi wa kundi la kigaidi la "Jaish al-Dhulm" ameuawa katika shambulio la askari usalama wa Iran.
-
Ukuaji wa uchumi sambamba na kupungua mfumuko wa bei nchini Iran
Feb 25, 2024 04:21Ripoti mpya ya Kituo cha Takwimu cha Iran inaonesha kuwa, ukuaji wa uchumi uliendelea kuimarika katika robo ya tatu ya mwaka huu licha ya kutekelezwa sera za kudhibiti mfumuko wa bei nchini.
-
Kufufuka uhusiano wa Iran na Sudan kwaitia wahka mkubwa Marekani
Feb 25, 2024 02:54John Godfrey, balozi wa Marekani nchini Sudan, amesema katika taarifa ya uingiliaji wa wazi wa mambo yasiyomuhusu ndewe wala sikio kwamba eti ana wasiwasi wa kuimarika uhusiano kati ya Iran na Sudan kwa madai kuwa uhusiano huo utaifanya Iran iisaidie kijeshi Sudan.
-
Soda ya Zamzam ya Iran yapata umaarufu Ghuba ya Uajemi baada ya kususiwa mashirika yanayofungamana na Israel
Feb 24, 2024 23:09Bidhaa za soda za shirika la Zamzam ya Iran zinatazamiwa kuchukua soko la Ghuba ya Uajemi baada ya kususiwa mashirika yanayofungamana na Israel