-
Kiongozi Muadhamu: Kushiriki uchaguzi ni wajibu wa kitaifa wa kila mmoja
May 10, 2024 04:29Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kushiriki katika uchaguzi ni wajibu wa kitaifa kwa wananchi wote.
-
Iran: Lugha ya Kifarsi kufundishwa katika Vyuo Vikuu vya Zimbabwe
May 10, 2024 03:53Waziri wa Sayansi, Utafiti na Teknolojia wa Iran ametangaza utayarifu wa Jamhuri ya Kiislamu wa kuanza kufunza lugha ya Kifarsi katika Vyuo Vikuu vya Zimbabwe.
-
Iran yakosoa vitisho na mashinikizo wawakilishi wa Kongresi dhidi ya mahakama ya ICC
May 09, 2024 22:41Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa ni fedheha na jambo lenye kutia wasiwasi kuona baadhi ya wawakilishi wa Kongresi na Seneti ya Marekani wanatoa vitisho na kuwashinikiza waendesha mashtaka na majaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).
-
Iran: Tutaangalia upya sera ya nyuklia iwapo uwepo wetu utatishiwa
May 09, 2024 22:40Mkuu wa Baraza la Kistratijia la Mahusiano ya Kigeni la Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu italazimika kuangalia upya kanuni yake ya nyuklia iwapo utawala wa Kizayuni wa Israel utatishia uwepo na usalama wa taifa hili.
-
Iran yataka Umoja wa Mataifa uishinikize zaidi Israel inayofanya mauaji ya kimbari
May 09, 2024 08:48Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran ametahadharisha dhidi ya kuendelea utendaji hatari wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza na kutaka kuongezwa mashinikizo hususan kutoka Umoja wa Mataifa dhidi ya utawala huo ghasibu.
-
Magharibi iliiomba Iran 'isiipige sana Israel', ipunguze ukali wa operesheni ya Ahadi ya Kweli
May 09, 2024 00:06Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema nchi za Magharibi ziliiomba Jamhuri ya Kiislamu ijizuie na ipunguze ukali wa operesheni yake ya kulipiza kisasi dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel, kabla ya kushambulia vituo vya utawala huo mwezi uliopita kujibu mapigo kwa shambulio lake la kigaidi ulilofanya dhidi ya ubalozi mdogo wa Iran nchini Syria.
-
Raisi: Iran kamwe haitaruhusu kutengwa wanawake katika jamii
May 08, 2024 23:03Rais wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu katu haitakubali sera ambazo zitapelekea kutengwa wanawake katika jamii.
-
Ebrahim Raisi: Iran yenye nguvu ina uwezo wa kuondoa chaguo la kijeshi kwenye meza ya adui
May 08, 2024 03:45Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Operesheni ya "Ahadi ya Kweli" ilileta fahari ya kitaifa na akaielezea kuwa ni dhihirisho la wazi kabisa la mantiki ya Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Iran na Oman zataka kukomeshwa haraka jinai za Israel Gaza
May 08, 2024 03:43Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Oman wametoa mwito wa kukomeshwa haraka iwezekanavyo jinai za utawala haramu wa Israel huko Gaza Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Iran yalaani mashambulizi ya Israel huko Rafah, Ukanda wa Gaza
May 07, 2024 23:46Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali mashambulizi ya utawala unaotekeleza mauaji ya kimbari wa Israel katika mji wa Rafah, kusini mwa Ukanda wa Gaza.