-
Amir-Abdollahian: Kura ya turufu ya US ya kuzuia usitishaji vita Ghazza ni janga la kidiplomasia la karne
Feb 21, 2024 23:13Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kitendo cha Marekani ya kupiga kura nyingine ya veto ya kuzuia usitishaji vita kwenye Ukanda wa Ghazza ni maafa na janga la karne la kidiplomasia.
-
Eslami: Iran ni miongoni mwa nchi 5 zinazoongoza katika sekta ya nyuklia
Feb 21, 2024 08:04Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) amesema kuwa nchi hii ni kati ya nchhi tano zinazoongoza duniani katika sekta ya nyuklia licha ya vikwazo vya miaka kadhaa vya Magharibi dhidi ya Tehran.
-
Amir-Abdollahian: Israel inahatarisha usalama wa Asia Magharibi
Feb 21, 2024 04:15Hussein Amir-Abdollahian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa wa Iran amesema kuwa, utawala haramu wa Israel umehatarisha usalama wa eneo la Asia Magharibi.
-
Iran yakadhibisha madai ya US ya kuipa silaha Yemen
Feb 20, 2024 09:23Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekanusha vikali madai kwamba inatuma silaha nchini Yemen na kusisitiza kuwa, madai hayo hayana msingi wowote.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amwambia Guterres: Jamii ya kimataifa isiruhusu mauaji ya watu wa Rafah
Feb 20, 2024 01:04Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemwandikia barua Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa akionya kuhusu mauaji ya umati yanayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wakazi wa Rafah huko Palestina.
-
Iran: Kuipatia Israel dola bilioni 14 ni sawa na Marekani kutoa bakhshishi kwa mauaji ya Wapalestina
Feb 19, 2024 07:45Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema, kuidhinishwa na Baraza la Seneti la Marekani msaada wa dola bilioni 14 kwa utawala wa Kizayuni wa Israel kunaonyesha kuwa Washington inautuza na kuupa bakhshishi utawala huo kwa kuwaua kwa halaiki raia wasio na hatia wa Palestina katika vita visivyo na mlingano vya Gaza.
-
Iran yaunga mkono kikamilifu taarifa ya mwisho ya mkutano wa Umoja wa Afrika
Feb 19, 2024 04:01Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa, inaunga mkono kikamilifu taarifa ya mwisho wa mkutano wa kilele wa wakuu wa Umoja wa Afrika (AU iliyotaka kuhitimishwa jinai za Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Kuzinduliwa mifumo mipya ya makombora nchini Iran
Feb 19, 2024 01:03Katika kuendelea ustawi wa Jamhuri ya Kiislamu katika sekta ya makombora, mifumo dhidi ya makombora ya balestiki kwa jina la "Arman", na mfumo wa ulinzi wa anga ya juu wa Azarkhash, ambao uliundwa kwa juhudi za wataalamu wa Wizara ya Ulinzi ya Iran ulizinduliwa juzi Jumamosi.
-
Kiongozi Muadhamu asisitiza mahudhurio katika uchaguzi na kulindwa umoja wa kitaifa
Feb 18, 2024 08:38Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesisitiza umuhimu wa umoja wa kitaifa na kuutaja uchaguzi ujao wa tarehe Mosi ya mwezi ujao wa Machi kuwa ni utatuzi wa matatizo na urekebishaji wa mambo na kutoa wito kwa kila mtu kushiriki kwa hamasa katika tukio hilo muhimu la kitaifa.
-
Iran yazindua mifumo mipya ya ulinzi ya kukabili makombora
Feb 17, 2024 08:04Jeshi la Iran limezindua mifumo mipya ya kistratijia katika sekta za makombora na ulinzi wa anga.