-
Sababu za maadui wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kupiga upatu wa kuwachochea wananchi wasusie uchaguzi
Feb 17, 2024 05:54Wiki mbili zimebakia hadi kufanyika uchaguzi wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu na wa Baraza la Wanazuoni Wataalamu wanaomchagua Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu na kusimamia kazi zake. Jambo hilo limepelekea maadui wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuzidisha propaganda zao za kuwachochea wananchi wasusie uchaguzi huo.
-
Iran yawakamata magaidi waliohusika na hujuma dhidi ya kituo cha polisi Sistan na Baluchestan
Feb 17, 2024 04:38Vikosi vya usalama vya Iran vimewakamata magaidi wawili waliohusika katika shambulizi la kigaidi mwezi Disemba mwaka jana kwenye makao makuu ya polisi ya Kaunti ya Rask katika mkoa wa Sistan na Baluchestan kusini mashariki mwa nchi.
-
Kuongezeka biashara isiyo ya mafuta kati ya Iran na nchi wanachama wa Shanghai
Feb 16, 2024 22:52Data zilizotangazwa na Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai zinaonyesha kuwa, kiwango cha biashara kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na nchi wanachama wa Jumuiya ya Shanghai kimeongezeka licha ya vikwazo vilivyopo.
-
Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Kambi ya Muqawama Gaza, Iraq, Yemen, Lebanon na Syria imetoa changamoto kwa mabeberu
Feb 16, 2024 08:01Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa hii leo kambi ya Muqawama katika nchi za Lebanon, Syria, Iraqi, Yemeni na huko Gaza imetengeneza mnyororo madhubuti ambao unatoa changamoto kubwa kwa nguvu bandia ya Shetani Mkuu (Marekani) na viongozi wa serikali za nchi za Ulaya.
-
Iran yatoa mwito wa kufanyika kikao cha dharura cha OIC kujadili mashambulio ya Israel Rafah
Feb 16, 2024 04:27Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa wito wa kuitishwa kikao cha dharura cha Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kutokana na hali mbaya ya kibinadamu inayoshuhudiwa katika Ukanda wa Ghazza hususan kwenye mji wa Rafah ambao unakabiliwa na hatari kubwa ya uvamizi unaokaribia kufanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Waziri wa Utamaduni wa Iran: Ujumbe wa Qur'ani ni ujumbe wa Muqawama na Jihadi
Feb 16, 2024 04:25Waziri wa Utamaduni na Miongozo ya Kiislamu wa Iran amesema, ujumbe wa Qur'ani ni ujumbe wa Muqawama na Jihadi.
-
Rais Raisi: Uwepo wa maajinabi umelizidishia eneo hili matatizo
Feb 15, 2024 23:17Rais Ebrahim Raisi wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu inapinga vikali uwepo wa madola ajinabi katika eneo hili la kistratejia la Asia Magharibi.
-
SEPAH: Iran ni moja ya madola yenye nguvu kubwa za makombora na droni duniani
Feb 15, 2024 07:34Kamanda wa Kikosi cha Anga za Mbali cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amesema kuwa, Iran ni moja ya madola yenye nguvu kubwa za makombora na droni duniani.
-
Rais wa Iran: Hali ya Gaza ni ishara ya muundo wa kidhalimu wa dunia ya sasa
Feb 15, 2024 04:20Rais Ebrahim Raisi wa Iran ameitaja hali inayoendelea sasa katika Ukanda wa Gaza unaoendelea kukabiliwa na vita vya mauaji ya kimbari vya Israel, kuwa ni mfano wa udhalimu wa muundo unaotawala duniani ya leo.
-
Iran ni miongoni mwa nchi 10 zinazoongoza duniani katika sekta ya bahari
Feb 14, 2024 23:00Naibu Waziri wa Barabara na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bandari na Bahari la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kila mwaka meli 40,000 hupita katika bandari za Iran na kuongeza kuwa, Iran ni miongoni mwa nchi 10 bora duniani katika sekta ya bahari.