-
Baqeri: Manowari ya Deylaman kudhamini usalama kaskazini mwa Iran
Nov 27, 2023 08:57Mkuu wa Komandi Kuu ya Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kujiunga manowari mpya ya Deylaman kwenye orodha ya meli za kivita za Iran kutaimarisha usalama katika Bahari ya Caspian, kaskazini mwa nchi.
-
Onyo la Iran kuhusu uingiliaji wowote wa Marekani katika mustakabali wa Gaza
Nov 27, 2023 08:38Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, uamuzi kuhusu mustakbali wa Ukanda wa Gaza uko mikononi mwa wakazi wake na kuwa uingiliaji wowote wa Marekani katika uwanja huo utashindwa tu.
-
Iran: Wapalestina wataamua hatima yao wenyewe
Nov 27, 2023 07:56Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema taifa la Palestina halitaruhusu ama utawala wa Kizayuni au Marekani kufikia malengo yao haramu, na kusisitiza kuwa hatima ya Palestina ipo mikononi mwa Wapalestina wenyewe.
-
Kikao cha Kimataifa cha Soko la Mitaji ya Kiislamu chafanyika Tehran
Nov 27, 2023 03:28Mkutano wa 15 wa Kimataifa wa Soko la Mitaji ya Kiislamu (ICM) unafanyika, Tehran, mji mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambapo unashirikisha wataalamu na wasimamizi wa ndani na nje ya nchi.
-
Rais Raisi: Uingiliaji wowote wa Marekani katika masuala ya Gaza utashindwa tu
Nov 27, 2023 00:00Seyed Ebrahim Raisi, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amesema watu wa Gaza, kupitia Hamas ambayo ni serikali halali na ya kisheria iliyochaguliwa kwa kura za wananchi wa eneo hilo, ndio wanaopasa kuamua juu ya mustakbali wa Gaza; na Marekani haina haki ya kuingilia kwa namna yoyote na kufanya maamuzi kwa ajili ya watu wa Gaza; na hatua yoyote itakayochukua juuu ya suala hilo itashindwa tu.
-
Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran: Ishara za kusambaratika Israel zimezidi kujitokeza wazi
Nov 26, 2023 08:39Kamanda Mkuu wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kwamba, ishara za kusambaratika utawala wa Kiizayuni zimezidi kuonekana wazi.
-
Maonyesho ya Istanbul na nafasi ya kipekee ya mashirika ya kuzalisha utaalamu ya Iran duniani
Nov 26, 2023 08:09Maonyesho ya 32 ya Kimataifa ya Plast Eurasia 2023 yamefanyika katika mji wa Istanbul nchini Uturuki. Makampuni 14 yanayozalisha maarifa ya kitaalamu ya Iran wameonyesha uwezo wao wa kitaalamu wa kuuza nje taaluma hiyo katika banda maalum la makampuni yanayozalisha maarifa katika maonyesho hayo, ambayo yameandaliwa kwa msaada wa Mfuko wa Ubunifu na Ustawi.
-
Iran yazitaka nchi za Kiislamu zichukue hatua zaidi katika kuwaunga mkono Wapalestina
Nov 26, 2023 04:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amesema nchi za Kiislamu zinapaswa kuchukua hatua muhimu zaidi za kuwaunga mkono wananchi wa Palestina katika kukabiliana na ukatili wa utawala ghasibu wa Israel.
-
Kamanda Fadavi: Nguvu za wananchi wa Palestina zimeifanya dunia kuemewa
Nov 25, 2023 03:32Kaimu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) amesema kuwa, nguvu zilizooneshwa na wananchi wa Palestina katika vita vya hivi sasa vya Ghaza zimeishangaza dunia na kuifanya iemewe, na ijiulize, nguvu hizi wamezitoa wapi wananchi hawa wa Palestina.
-
Kuna wajibu wa kupandishwa kizimbani waungaji mkono wa Israel
Nov 25, 2023 03:31Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa ya Majlisi ya Ushauri wa Kiislamu (Bunge la Iran) amelaani kimya cha baadhi ya viongozi wa nchi za dunia mbele ya jinai za utawala wa Kizayuni na kusisitiza kuwa, kuna wajibu wa kupandishwa kizimbani waungaji mkono wa Israel kwa kushiriki kwenye jinai za utawala huo dhalimu.