-
Iran yawasilisha malalamiko UN kuhusu matamshi ya Trump ya kuchochea vurugu na vitisho vya kijeshi
Jan 14, 2026 23:10Iran imewasilisha malalamiko rasmi kwa Umoja wa Mataifa kufuatia matamshi ya Rais wa Marekani Donald Trump, ikimkemea kwa kutoa vitisho vya kijeshi na kuwachochea waandamanaji kuteka taasisi za serikali.
-
Mamilioni wajitokeza katika mazishi ya mashahidi wa mashambulizi ya kigaidi mjini Tehran na miji mingine ya Iran
Jan 14, 2026 09:27Mamilioni ya Iran leo wamejitokeza katika mazishi na shughuli ya kuwaaga mashahidi wa mashambulizi ya kigaidi mjini Tehran na miji mingine ya Iran.
-
Iran yajitosheleza katika kutengeneza dawa za kutibu fibrosisi ya mapafu
Jan 14, 2026 08:36Mkurugenzi wa utafiti na maendeleo wa kampuni inayotegemea maarifa nchini Iran ametangaza uzalishaji wa dawa ya Ofenib kwa mara ya kwanza hapa nchini, ambayo hutumika kwa wagonjwa wenye magonjwa ya mapafu ya ndani, hasa fibrosis ya mapafu.
-
Abbas Araghchi: Kauli za uchochezi za Wamarekani ni kuingilia masuala ya ndani ya Iran
Jan 14, 2026 07:47Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza azma ya taifa hili ya kutetea mamlaka yake ya kitaifa dhidi ya uingiliaji wa kigeni.
-
Kwa nini Pakistan imekosoa msimamo wa Trump kuhusu machafuko nchini Iran?
Jan 14, 2026 03:51Pakistan imekosoa msimamo wa Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu machafuko yanayochochewa na nchi za Magharibi nchini Iran.
-
Larijani: Trump ndiye 'muuaji mkubwa zaidi' wa Wairani
Jan 14, 2026 03:16Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran (SNSC) amelaani vitisho vya Rais wa Marekani Donald Trump dhidi ya taifa hili, akimtaja mwanasiasa huyo kama mmoja wa wauaji wakubwa zaidi wa Wairani.
-
Ujumbe madhubuti wa tarehe 22 Dei wa taifa la Iran; mwisho wa hadaa na hila za Marekani
Jan 13, 2026 07:46Katika ujumbe wa pongezi aliotoa kwa mnasaba wa kazi kubwa iliyofanywa na taifa kubwa la Iran katika kuandaa mikusanyiko mikubwa ya tarehe 12 Januari, na siku ya kihistoria iliyobuniwa kwa masaba huo, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, taifa la Iran limewadhihirishia maadui ujasiri na utambulisho wake.
-
Araghchi atoa onyo baada ya vitisho vya Trump: Iran iko tayari kwa vita ikiwa Marekani inataka 'kuvijaribu'
Jan 13, 2026 07:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi ameionya Marekani kwamba, Tehran "iko tayari kwa machaguo yote" baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kutishia kuchukua hatua za kijeshi sambamba na Iran kukabiliwa na machafuko hivi karibuni yaliyochochewa na kuungwa mkono na maadui wa nje ya nchi.
-
Waziri wa Ulinzi wa Iran: Tunayo mengi ya kushangaza yatakayomtia maumivu makubwa adui
Jan 13, 2026 03:43Waziri wa Ulinzi wa Iran, Brigedia Jenerali Aziz Nasirzadeh, amemuonya yeyote anayewatishia watu wa Iran kwa shambulio la kijeshi, akisema kwamba Tehran ina "mastaajabu ya kukabiliana na vitisho hivyo, na washambuliaji watapata maumivu na mateso makubwa kwa mastaajabu hayo."
-
Qalibaf: Taifa la Iran limemzuia adui kufikia malengo yake
Jan 13, 2026 03:43Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kujitokeza tena kwa Wairani uwanjani kumebatilisha uchawi wa uadui wa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Iran, akisisitiza: "Leo, kiini kikubwa cha Wairani milioni 90, wenye dini, mielelezo ya kisiasa na lahaja tofauti, kimesimama kidete dhidi ya adui wa kigeni, na hii ni hatua muhimu ya mwamko wa Wairani."