-
Rais Raisi: Iran ya Kiislamu inazidi kupata nguvu zaidi
Jul 15, 2022 00:00Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Iran ya Kiislamu leo ina nguvu zaidi ya wakati wowote ule.
-
Kamanda: Vikosi vya Jeshi la Iran vinaendelea kuimarika licha ya vikwazo
Jul 14, 2022 21:58Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Anga cha Jeshi la Nchi Kavu la Iran amesema vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu vinendelea kuimarika na kupata nguvu zaidi siku baada ya siku, licha ya vikwazo na mashinikizo ya kiuchumi dhidi ya taifa hili.
-
Vikao muhimu kufanyika katika safari ya Putin na Erdogan nchini Iran
Jul 14, 2022 06:06Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Ankara amedokeza kuwa kutafanyika vikao viwili muhimu mjini Tehran wiki ijayo ambavyo vitahudhuriwa na marais Vladimir Putin wa Russia na Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki.
-
Kan’ani Chafi: Hadaa ni sifa iliyoshamiri ya wanasiasa wa Marekani
Jul 14, 2022 06:01Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hadaa na kusema uongo ni sifa ya kawaida katika kauli za wanasiasa wa Marekani.
-
Raisi: Hakuna mwenye haki ya kuzungumza na watu wa Iran kwa lugha ya mabavu
Jul 13, 2022 22:48Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Jamhuri ya Kiislamu haitalegeza msimamo wake wa haki na wa kimantiki na kufafanua kuwa, hakuna mtu mwenye haki ya kuzungumza na wananchi wa Iran kwa kutumia lugha ya mabavu.
-
Amir Abdollahian: Makampuni ya Italia yana shauku ya kuwekeza nchini Iran
Jul 13, 2022 05:24Hossein Amir Abdollahian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema amefurahishwa na kiwango cha utayari wa makampuni ya Italia wa kushirikiana na Iran, na kusisitiza haja ya kurejeshwa safari za moja kwa moja za ndege kati ya nchi mbili hizi.
-
Qalibaf: Iran imelenga katika biashara ya dola bilioni 200 na majirani zake
Jul 13, 2022 03:01Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Iran imelenga kufanya biashara ya thamani ya dola bilioni 200 na nchi jirani zake.
-
Iran: Israel ndio mzizi wa ugaidi na ukosefu wa usalama Asia Magharibi
Jul 12, 2022 22:58Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema utawala wa Kizayuni wa Israel ndio chimbuko la vitendo vya kigaidi na ukosefu wa usalama na uthabiti katika eneo hili la Asia Magharibi.
-
Raisi: Kulinda mazingira ni jambo la dharura na kipaumbele kisichoepukika
Jul 12, 2022 06:49Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika Mkutano wa Mawaziri wa eneo hili kuhusu ushirikiano wa mazingira kwa mustakabali bora kwamba; umuhimu wa mazingira unapasa kuzingatiwa na kwamba kila mmoja anapasa kulinda mazingira mbali na mitazamo ya kawaida, kidiplomasia na kisiasa.
-
Spika Qalibaf: Marekani ni mtekelezaji wa sera za Wazayuni katika eneo
Jul 12, 2022 03:24Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Marekani ni mtekelezaji wa siasa na sera za Wazayuni katika eneo.