-
Iran yapinga mpango wa US kuunda mfumo wa ulinzi katika eneo
Jul 11, 2022 06:59Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeutaja mpango wa Marekani wa kutaka kuunda eti mfumo wa pamoja wa ngao ya makombora katika eneo hili kuwa ni wa kichochezi na kichokozi.
-
Iran kati ya nchi 15 zinazovutia idadi kubwa ya wanafunzi wa kigeni
Jul 11, 2022 06:31Iran imetajwa kuwa miongoni mwa nchi 15 duniani, zenye kuvutia idadi kubwa ya wanafunzi wa kigeni.
-
Rais Raisi: Kuna udharura wa kudumishwa sifa maalumu za kihistoria za India
Jul 10, 2022 22:06Rais Ebrahim Raisi amesema, kuna udharura wa kulindwa na kudumishwa sifa maalumu za kihistoria za India, ambayo ni ardhi inayosifika kwa kuheshimu dini mbalimbali.
-
Raisi: Iran inapinga uingiliaji wowote wa ajinabi nchini Syria
Jul 10, 2022 04:39Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Iran inaunga mkono amani na uthabiti na inapinga uingiliaji wowote wa madola ajinabi katika mambo ya ndani ya Syria.
-
Waislamu wa Irani na baadhi ya nchi duniani wanaadhimisha sikukuu ya Idul Adh'ha
Jul 10, 2022 03:43Wananchi wa Iran na nchi nyingine nyingi duniani leo wanaadhimisha sikukuu ya Idul Adh'ha sambamba na mahujaji wanaokamilisha ibada ya Hija huko Makka nchini Saudi Arabia.
-
Mahujaji wa Kiirani walaani kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel
Jul 09, 2022 05:15Ummati mkubwa wa Mahujaji wa Kiirani sambamba na kutangaza uungaji mkono wao kwa wananchi wa Palestina, lakini umekosoa pia njama ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Raisi: Maadui wanatumia magenge ya kitakfiri kuwagawa Waislamu
Jul 09, 2022 03:11Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mwenendo wa magenge ya kigaidi na kitakfiri wa kupanda mbegu za chuki na mifarakano ni sehemu ya mbinu zinazotumiwa na maadui kuibua migawanyiko katika umma wa Kiislamu.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran alaani mauajii ya Shinzo Abe
Jul 08, 2022 23:10Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amelaani mauaji ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Japan Shinzo Abe, ambaye alifariki baada ya kupigwa risasi akiwa katika kampeni za uchaguzi wa bunge.
-
Ayatullah Khatami: Maadui wanataka kudhoofisha umoja wa Waislamu
Jul 08, 2022 06:32Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa Tehran amesema maadui wanafanya juu chini kupunguza na kudhoofisha umoja wa umma wa Kiislamu kwa kutumia mbinu mbalimbali.
-
Kiongozi wa Mapinduzi: Magharibi yenye kiburi imekuwa dhaifu duniani kote
Jul 08, 2022 03:43Katika ujumbe wake kwa mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, nchi za Magharibi zenye kiburi zimezidi kudhoofika siku baada ya siku katika eneo letu nyeti, na hivi karibuni katika dunia nzima.