-
Iran yanasa meli nyingine ya kigeni ikifanya magendo ya mafuta
Apr 10, 2022 22:06Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limefanikiwa kunasa meli nyingine ya kigeni ikifanya magendo ya mafuta katika maji ya Ghuba ya Uajemi.
-
Iran yazindua mafanikio 9 katika sekta ya nyuklia
Apr 09, 2022 08:07Sambamba na Siku ya Kitaifa ya Teknolojia ya Nyuklia, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ameshiriki katika maonyesho ya Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran ambapo amezindua mafanikio mapya katika uga wa miradi ya nyuklia yenye malengo ya amani.
-
Iran yatangaza vikwazo vipya dhidi ya Wamarekani wanaohusika na ugaidi
Apr 09, 2022 07:57Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza orodha mpya ya vikwazo dhidi ya raia wa Marekani wanaohusika na vitendo vya ugaidi na ukiukaji wa haki za binadamu.
-
Iran yataka vikwazo vyote dhidi ya wananchi wa Yemen viondolewe haraka
Apr 09, 2022 02:37Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo ya simu na waziri mwenzake wa mambo ya nje wa Kuwait kwamba Tehran imepokea vizuri hatua ya kusimamishwa vita nchini Yemen na inaamini kuwa ni jambo la dharura kuondolewa vikwazo vyote ilivyowekewa nchi hiyo ili iwe rahasi kupeleka misaada ya kibinaadamu.
-
Iran na Iraq zatoa mwito wa kutekelezwa makubaliano ya pande mbili
Apr 08, 2022 22:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Hossein Amir-Abdollahian na mwenzake wa Iraq, Fuad Hossein wamesisitizia haja ya kuharakishwa mchakato wa kutekelezwa makubaliano mbalimbali yaliyofikiwa huko nyuma baina ya nchi mbili hizi jirani za Kiislamu.
-
Seddiqi: Nishati ya nyuklia ni haki ya kidini na kisheria ya wananchi wa Iran
Apr 08, 2022 10:23Imam wa muda wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesisitiza kuwa sekta ya nyuklia ni haki ya kidini na kisheria ya wananchi wa Iran.
-
Sisitizo la Iran la kutafutwa njia ya kisiasa ya kutatua mgogoro wa Ukraine
Apr 07, 2022 23:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuhusu mgogoro wa Ukraine kwamba Tehran inatilia mkazo wajibu wa kutafutwa njia za kisiasa za kuutatua mgogoro huo.
-
Vahidi: Iran itakabiliana ipasavyo na mrengo wa kitakfiri na kigaidi
Apr 07, 2022 09:17Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran amesema: "Watu wanaoendeleza fikra za kitakfiri na wahalifu waliotekeleza mauaji kwenye Haram ya mjukuu wa Mtume Muhammad (saw) katika mji wa Mash'had hapa nchini, watachukuliwa hatua kali.
-
Iran yasafirisha nje dozi milioni 4 za chanjo za COVID-19
Apr 06, 2022 21:28Mkuu wa Shirika la Dawa na Chakula la Iran (FDA) amesema Jamhuri ya Kiislamu imefanikiwa kuuza nje ya nchi dozi milioni nne za chanjo za kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19 zilizozalishwa hapa nchini.
-
Iran yapongeza marufuku ya kilimo na usafirishaji wa mihadarati kutoka Afghanistan
Apr 06, 2022 06:14Msaidizi wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Rasoul Mousavi, Jumatatu iliyopita aliandika kwenye mtandao wa Twitter kwamba: