-
Iran: Hatuoni mabadiliko yoyote katika vitendo vya Marekani
Feb 25, 2021 23:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran haioni mabadiliko yoyote katika vitendo vya Marekani licha ya rais mpya kuingia madarakani nchini humo
-
Ulaya na JCPOA; sharti la Iran la kurudi kwenye Protokali ya Ziada
Feb 25, 2021 13:34Jibu na radiamali ya pande za Ulaya na Marekani kwa hatua ya Iran ya kusimamisha utekelezaji wa hiari wa Protokali ya Ziada ya Mkataba unaopiga marufuku uundaji na uenezaji silaha za nyuklia y NPT ni ya kutafakariwa na inaonesha muelekeo na mtazamo usio wa kimantiki wa pande hizo.
-
Rouhani: Kuzinduliwa Barabara Kuu ya Ghadir ni ishara ya kufeli mashinikizo ya adui
Feb 25, 2021 08:33Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, kuzinduliwa Barabara Kuu ya Ghadir ni ishara ya wazi ya kufeli 'mashinikizo ya juu kabisa' ya adui dhidi ya Iran.
-
Takht-Ravanchi: Vikwazo dhidi ya Iran vinapaswa kuondolewa katika kipindi cha miezi mitatu ijayo
Feb 25, 2021 00:53Mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesisitiza kuwa, vikwazo dhidi ya taifa hili vinapaswa kuondolewa katika kipindi cha miezi mitatu ijayo.
-
Brigedia Jenerali Dehqan: Uwezo wa kiulinzi wa Iran hautegemei silaha za nyuklia
Feb 25, 2021 00:22Mshauri wa Amirijeshi Mkuu wa Majeshi ya Iran katika masuala ya sekta ya viwanda vya ulinzi amezungumzia fatwa ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu juu ya kuwa haramu kuunda na kutumia silaha za nyuklia na kusisitiza kuwa, uwezo wa kiulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katu hautegemea na hautategemea silaha za nyuklia.
-
Rais Rouhani: Serikali mpya ya Marekani ikomeshe haraka ugaidi wa kiuchumi
Feb 24, 2021 08:33Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesea kuwa, serikali mpya ya Marekani inapaswa kusitisha mara moja operesheni za ugaidi wa kiuchumi.
-
Zarif: Iran italiunga mkono taifa linalodhulumiwa la Yemen
Feb 24, 2021 04:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Tehran inaunga mkono harakati yoyote ambayo itapelekea kuhitimishwa hujuma dhidi ya taifa la Iran.
-
Chanjo ya pili iliyotegenezwa Iran kufanyiwa majaribio ya mwanadamu wiki ijayo
Feb 24, 2021 04:34Chanjo ya pili ya Corona au COVID-19 iliyotengenezwa Iran ambayo inajulikana kama COV-Pars itaanza kufanyiwa majaribio ya mwanadamu wiki ijayo.
-
Takht-Ravanchi: Vikwazo vinashadidisha matatizo katika mabadiliko ya tabianchi
Feb 23, 2021 23:45Mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, vikwazo vya kiuchumi vya upande mmoja ni moja ya vizuizi vikuu vinavyokwamisha juhudi za kukabiliana ipasavyo na athari mbaya za mabadiliko ya hali ya hewa na tabia nchi, hivyo lazima viondolewe.
-
Zarif: UN haina faili safi katika suala la kutetea sheria za kimataifa
Feb 23, 2021 10:13Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa, Umoja wa Mataifa hauna faili zuri katika kutetea sheria za kimataifa.