-
Araqchi: IAEA ‘imeridhishwa kikamilifu’ na makubaliano ya ushirikiano
Sep 11, 2025 03:51Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameeleza kuwa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) umeridhishwa kikamilifu na vipengee vya makubaliano yaliyofikiwa karibuni kati ya wakala huo na Jamhuri ya Kiislamu.
-
Qalibaf: Njia ya kukabiliana na Israel ni kupitia hatua zilizoratibiwa na za umoja wa ulimwengu wa Kiislamu
Sep 10, 2025 23:47Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ameandika katika ujumbe wake kufuatia mashambulizi ya anga ya utawala wa Kizayuni dhidi ya Qatar: "Njia ya kukabiliana vilivyo na mienendo ya utawala wa Kizayuni ni kupitia hatua zilizoratibiwa na za umoja wa ulimwengu wa Kiislamu."
-
Iran yakemea mashambulizi ya Israeli dhidi ya vongozi wa Hamas jijini Doha
Sep 10, 2025 07:28Iran imelaani vikali mashambulizi ya anga yaliyofanywa na Israel dhidi ya viongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Ukombozi wa Palestina, Hamas, wakati walipokuwa wakijadili pendekezo la Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu kusitisha mapigano huko Gaza,ikiyataja kuwa ni ukiukaji wa misingi yote ya sheria za kimataifa.
-
Wanasayansi kutoka India, Uturuki na Iran watunukiwa Tuzo ya Mustafa (SAW) ya Mwaka 2025
Sep 10, 2025 07:27Wanasayansi watatu mashuhuri ambao ni Mohammad K. Nazeeruddin kutoka India, Mehmet Toner kutoka Uturuki, na Vahab Mirrokni kutoka Iran wametangazwa kuwa washindi wa Tuzo ya Mustafa (SAW) ya mwaka 2025.
-
Maulid ya Mtume Muhammad (SAW) na Imam Ja'far al-Sadiq (AS) jijini Tehran
Sep 10, 2025 07:21Asubuhi ya leo, hafla ya kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Mtume Mtukufu Muhammad Mustafa (SAW) na Imam Ja'far al-Sadiq (AS) imefanyika jijini Tehran katika ukumbi wa Imam Khomeini (MA), kwa ushiriki wa familia za mashahidi, wananchi wa tabaka mbalimbali, na wageni wa Mkutano wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu.
-
Pezeshkian: Ugaidi wa kuwalenga viongozi wa Hamas Doha umeanika sura halisi ya Israel
Sep 10, 2025 03:44Rais Masoud Pezeshkian wa Iran ameulaani vikali utawala haramu wa Israel kwa kitendo chake 'haramu, cha kinyama na kinacholenga kuvuruga amani ya eneo,' baada ya utawala huo wa Kizayuni kushambulia ardhi ya Qatar na kuwaua shahidi viongozi kadhaa wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas.
-
Iran na IAEA zaafikiana kurejesha ushirikiano; Araghchi aonya
Sep 10, 2025 03:10Iran na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) zimefikia makubaliano yenye lengo la kuandaa njia ya kurejesha ushirikiano kati ya pande hizo mbili.
-
Iran na Oman zataka kuchukuliwa hatua kimataifa kukomesha mauaji ya kimbari ya Israel Gaza
Sep 09, 2025 22:58Mawaziri wa Mashhauri ya Kigeni wa Iran na Oman wamehimiza juu ya udharura wa kuchukuliwa hatua katika uga wa kimataifa kwa minajili ya kukomesha mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala haramu wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
-
Iran yapongeza mazungumzo 'yenye tija' ya Araghchi na Kallas, yaihimiza EU iachane na mtazamo wa makabiliano
Sep 09, 2025 07:36Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema, mkutano wa Waziri wa Mambo ya Nje Abbas Araghchi na Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya Kaja Kallas ulikuwa wenye tija, na kubainisha kuwa hoja na rai mbalimbali ziliwasilishwa katika mazungumzo yao.
-
Vita vya Gaza na suala la nyuklia la Iran, ajenda kuu ya mazungumzo ya mawaziri wa mambo ya nje wa Iran na Misri
Sep 09, 2025 02:39Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Misri wamejadili na kubadilishana mawazo kuhusu maendeleo ya kieneo na kimataifa.