-
Takwimu za kutisha za watoto wahanga wa njaa na vita Gaza
Aug 14, 2025 03:13Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) amesema kuhusu ukubwa wa maafa ya kibinadamu huko Gaza kwamba, mamia ya watoto wamekufa kutokana na njaa na utapiamlo, na makumi ya maelfu ya wengine wamekuwa wahanga wa mashambulizi ya anga ya Israel.
-
Mamilioni ya Waislamu wanashiriki kumbukumbu ya Arubaini ya Imam Hussein (as) Karbala
Aug 14, 2025 00:17Mamilioni ya Waislamu kutoka maeneo mbalimbali duniani wanakusanyika kwenye mji mtakatifu wa Karbala nchini Iraq ili kuadhimisha kumbukumbu ya Arubaini ya Imam Husseini (as).
-
WHO yataka misaada zaidi kuingia katika Ukanda wa Gaza
Aug 13, 2025 07:30Shirika la Afya Duniani (WHO), limeutaka utawala wa kizayuni wa Israel uliruhusu kupeleka vifaa ya matibabu katika Ukanda wa Gaza ili kushughulikia janga la kiafya huko kabla ya Israel haijachukua udhibiti kamili wa ukanda huo.
-
Shambulio la ndege zisizo na rubani za utawala wa Kizayuni kusini mwa Lebanon
Aug 13, 2025 03:46Duru za Lebanon zimeripoti kuhusu shambulio la ndege zisizo na rubani za utawala wa Kizayuni kwenye bandari ya "Al-Naqourah" iliyoko kusini mwa Lebanon.
-
Uingiliaji wa Marekani na Uingereza wawakasirisha wananchi wa Iraq
Aug 13, 2025 01:42Uingiliaji wa Marekani na Uingereza katika masuala ya ndani ya Iraq umeibua hasira miongoni mwa wabunge wa nchi hiyo ya Asia Magharibi.
-
Operesheni tata ya Sarayal-Quds yateketeza magari 52 ya kijeshi ya Israel mashariki ya Ghaza
Aug 12, 2025 23:54Kamanda wa ugani wa Sarayal-Quds, tawi la kijeshi la harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Jihadul-Islami ya Palestina ametangaza kuwa wapiganaji wa harakati hiyo wametekeleza operesheni ngumu na tata iliyolenga askari na zana za kijeshi za jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Je, mzozo kati ya Netanyahu na makamanda wa jeshi la Israel utakuwa na matokeo gani ya kuikalia kwa mabavu Gaza?
Aug 12, 2025 05:11Vita vya maangamizi vinavyoendelea huko Gaza vimezua hitilafu kubwa kati ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na makamanda wa jeshi la Israel kuhusu mpango wa kuliteka na kulikalia kwa mabavu eneo hilo kikamilifu.
-
UNRWA: Kuna kizazi kinaangamizwa Gaza
Aug 11, 2025 23:08Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada kwa Ajili ya Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetangaza kuwa, watoto huko Gaza wanakufa kwa njaa, na kutochukua hatua na kunyamaza mbele ya jinai za utawala wa Israel ni sawa na kushiriki katika jinai hiyo.
-
Wasia wa ripota Mpalestina aliyeuliwa kigaidi na Israel kwa walimwengu: 'Msiisahau Ghaza'
Aug 11, 2025 07:19Anas al-Sharif, ripota mashuhuri wa chaneli ya Al Jazeera aliyeuliwa shahidi pamoja na wenzake wanne katika shambulio la makusudi lililofanywa na jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel kwenye hema la waandishi wa habari katika Mji wa Ghaza, amewaomba walimwengu katika wasia wake wasiisahau Ghaza iliyowekewa mzingiro pamoja na watu wa Palestina.
-
Makundi ya mapambano ya Palestina yalaani mauaji ya Israel dhidi ya waandishi wa habari
Aug 11, 2025 04:16Makundi ya mapambano ya ukombozi ya Palestina yamelaami vikali mauaji ya halaiki yaliyofanywa na Israel dhidi ya waandishi habari na wapiga picha kadhaa katika Ukanda wa Gaza.