-
Marekani na Uingereza zashambulia tena Yemen kuunga mkono Israel
Oct 31, 2024 07:46Marekani na Uingereza zimefanya mashambulizi mapya ya anga katika mji wa Hudaydah, magharibi mwa Yemen kwa lengo la kuunga mkono utawala haramu wa Israel.
-
Hizbullah yafanya shambulio la makombora katika vitongoji vinne vya walowezi wa Kizayuni
Oct 31, 2024 03:37Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa imeshambulia kwa makombora vitongoji vinne vya walowezi wa Kizayuni vya kaskazini mwa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.
-
Mabanati wa Ghaza waendesha 'Muqawama wa Kiqur'ani' ili kuzipa nyoyo sakina na utulivu
Oct 31, 2024 00:16Kundi moja la mabanati katika Ukanda wa Ghaza limeamua kuweka darsa za kuhifadhi Qur'ani ili kuzipa nyoyo zao sakina na utulivu kwa maneno matukufu ya Mwenyezi Mungu, licha ya eneo hilo kuendelea kuandamwa na mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Sheikh Qassem: Hizbullah itazima 'mpango mkubwa' wa Israel katika eneo
Oct 30, 2024 23:07Katibu Mkuu mpya wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon amesema kundi hilo la mapambano ya Kiislamu litaendelea kupambana kwa shabaha ya kusambaratisha njama za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya eneo zima la Asia Magharibi.
-
Malengo ya utawala wa Kizayuni katika hatua yake mpya dhidi ya UNRWA
Oct 30, 2024 23:00Hatua ya utawala wa Kizayuni ya kupiga marufuku shughuli za UNRWA imekabiliwa na radiamali kali za kimataifa.
-
Mashambulio na mauaji ya kinyama ya Israel yaigeuza Bait Lahia, Ghaza eneo la 'maafa yasiyoelezeka'
Oct 30, 2024 10:01Mamlaka za Palestina katika eneo la Beit Lahia kaskazini mwa Ukanda wa Ghaza leo zimeutangaza mji huo kuwa "eneo la maafa" wakati jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel linaendelea na mashambulizi yake ya kinyama na mauaji ya kimbari katika eneo hilo la Palestina.
-
Israel inatafuta mwafaka wa kuachiwa mateka wachache na kusitishwa vita Ghaza kwa mwezi mmoja
Oct 30, 2024 09:26Vyombo vya habari vya Kiebrania vimetangaza kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unataka kufikia makubaliano na harakati ya Hamas yatakayowezesha kuachiliwa idadi ndogo ya mateka wanaoshikiliwa katika Ukanda wa Ghaza mkabala na kusitishwa mapigano kwa muda wa mwezi mmoja.
-
Waandishi 1000 mashuhuri duniani kususia taasisi za kitamaduni za Israel
Oct 30, 2024 05:56Zaidi ya waandishi elfu moja wameahidi kutoshirikiana na taasisi za kiutamaduni za utawala wa Kizayuni wa Israel, ambazo zinatajwa kushiriki katika ukiukaji wa haki za Wapalestina.
-
Olmert: Adui yetu ni Netanyahu, si Iran, Hizbullah wala Hamas!
Oct 30, 2024 04:43Waziri Mkuu wa zamani wa Israel, Ehud Olmart amesema adui wa utawala huo sio Iran, Hizbullah wala Hamas bali ni Waisraeli wenye itiikadi kali akiwemo waziri mkuu wa sasa wa utawala huo, Benjamin Netanyahu.
-
Wizara: Israel imeua wanafunzi karibu 12,000 tangu Oktoba 2023
Oct 29, 2024 23:59Wizara ya Elimu katika Ukanda wa Gaza imesema utawala wa Kizayuni wa Israel umewaua wanafunzi zaidi ya 11,852 katika eneo hilo lililozingirwa la Palestina, tangu Oktoba mwaka jana 2023.