-
Hizbullah: Adui hana chaguo jingine ghairi ya kusitisha vita Gaza
Sep 08, 2024 09:26Mjumbe wa Baraza Kuu la Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, adui ana njia moja pekee, ambayo ni kusimamisha hujuma na mashambulizi ya kinyama dhidi ya Ukanda wa Gaza.
-
Wazayuni waendelea kuangamizwa katika operesheni za kulipiza kisasi
Sep 08, 2024 08:02Kwa akali walowezi watatu wa Kizayuni wenye umri wa makamo wameangamizwa katika operesheni ya kulipiza kisasi karibu na kivuko daraja la Karama (Allenby) kwenye mpaka kati ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan unaokaliwa kwa mabavu na Jordan, huku mashambulizi ya anga ya Wazayuni dhidi ya Ukanda wa Gaza unaozingirwa yakiendelea.
-
Vifo vya taratibu vya wakazi wa Ukanda wa Gaza kutokana na njaa kali
Sep 08, 2024 07:01Mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni huko Ukanda wa Gaza pia yamesababisha vifo vya taratibu kwa wakazi wa ukanda huo kutokana na njaa kali.
-
Yemen yatungua ndege ya Marekani, yaapa kukabiliana na uwendawazimu wa Israel
Sep 08, 2024 03:15Jeshi la Yemen limetungua ndege ya kivita ya Marekani isiyo na rubani huku waziri wa ulinzi wa nchi hiyo akiapa kuendeleza operesheni zinazoiunga mkono Palestina katika kupinga vita vya mauaji ya kimbari vinavyoendelea kufanywa na utawala wa Israel dhidi ya Wapalestina huko Ukanda wa Gaza.
-
Indhari ya Jordan kuhusu njama ya Israel ya kuyahudisha maeneo ya Kiislamu na Kikristo mjini Al-Quds
Sep 08, 2024 01:00Wizara ya Wakfu ya Jordan imetahadharisha kuhusu kushadidi hatua za utawala wa Kizayuni zenye lengo la kueneza Uyahudi katika maeneo matakatifu ya Kiislamu na Kikristo katika mji mtakatifu wa al-Quds (Jerusalem).
-
Matokeo ya vita vya Gaza kwa walowezi wa Kizayuni
Sep 08, 2024 00:52Mbali na kuwa utawala wa Kizayuni haujafikia malengo yake yoyote ya kijeshi katika vita vya Gaza, unakabiliwa pia na ongezeko la changamoto za walowezi wa Kizayuni.
-
Idadi ya vifo Ghaza yapindukia 40,900 baada ya jeshi la Israel kuua Wapalestina wengine 61
Sep 07, 2024 08:22Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limewaua shahidi Wapalestina wengine 61 katika mashambulizi kwenye Ukanda wa Ghaza, na kuongeza idadi ya vifo kufikia 40,939 tangu Oktoba 7, 2023. Hayo ni kulingana na taarifa iliyotolewa leo na Wizara ya Afya ya Ghaza.
-
Mistari myekundu ya Hamas katika mazungumzo ya kusitisha mapigano
Sep 07, 2024 08:07Mkuu wa timu ya Hamas katika mazungumzo ya kusitisha vita vya Gaza amesisitiza masuala ya msingi na mistari myekundu ya harakati hiyo katika mazungumzo hayo.
-
Kifo cha Mmarekani Mturuki kimedhihirisha unafiki na undumilakuwili wa Marekani
Sep 07, 2024 07:35Msimamo wa Marekani wa kutoa mijibizo tofauti kuhusiana na vifo vya raia wake waliouliwa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel na wale waliofariki katika matukio mengine umedhihirisha unafiki na undumilakuwili wa serikali ya Washington.
-
Mamilioni ya Wayamen waandamana kuunga mkono msikiti wa al-Aqswa
Sep 07, 2024 03:48Mamilioni ya wananchi wa Yemen wameandamana katika mji mkuu Sana’a na katika majimbo kadhaa siku wakitangaza himaya na uungaji mkono wao kwa msikiti wa al-Aqswa.